Nilishangaa why anatoa kauli kama ile?Ile kauli yake ya kwamba Rais apunguziwe madaraka pengine imemponza
Ikiwa amevuka 60 yrs ni mstaafu readyMzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe
Asante kwa taarifa hii muhimu, this move was long expected, its was just a matter of time, so does KM! Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!Mzee mzima wa kuanzia enzi za kale hadi enzi hizi ameandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya makamu mwenyekiti.
Tunasubiri tu barua ijibiwe na mtangaziwe