Kuna 'Sober House' za punyeto?

Kuna 'Sober House' za punyeto?

Mzizimkavu aliwahi kusemaga humu mkilala mikono mpake pilipili
 
Hili janga la "kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi, kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya, yaani kuacha ni "muujiza", wengine mpaka wanaoa lakini bado wanaendelea.

Wadada humu wanalalamika kuwa hawaridhishwi na wapenzi wao eti kisa "punyeto". Hivi jamani hakuna "sober house" ambazo zinatupokea sisi tulioathiriwa na hii kitu? Maana tangu nifundishwe na mwalimu wa sayansi std 7 mpaka leo sijaacha, popote ulipo ticha mungu anakuona.


moto wa maji Mwenyekiti CHAPUTA
The Book Katibu Mkuu CHAPUTA.
By the way punyeto ni safe sex ikiwa utafanya kistaarab but isiwe too much na ni punyeto ambayo inaokoa vijana wengi kwenye janga LA ukimwi na magonjwa ya zinaa kwa sasa but if z too much it can cause problems like ACNE weak erection na kadhalika
 
Sema wewe una tatizo la baridi ya bisi nyeto huwezi acha kienyeji enyeji eti kujikipu bze... Ukipona utarudia tu
sio kweli mkuu unajua kila jambo ufanyika kwa hisani ukiweza kujicontrol hisia zako hauwez rudia, jaribu kujiweka mbali na mazingira ya ngono na kuwa bize alaf unipe mrejesho
 
By the way punyeto ni safe sex ikiwa utafanya kistaarab but isiwe too much na ni punyeto ambayo inaokoa vijana wengi kwenye janga LA ukimwi na magonjwa ya zinaa kwa sasa but if z too much it can cause problems like ACNE weak erection na kadhalika
..interesting
 
huyu moto wa maji ndo alinitabiria vibaya aliniambia sichukui round na kwel sijamaliza mwezi **** ulisimama hatari nikiwa bafuni nkaona nisitoke nimesimamisha nkaamua kuishika shika ghafla mambo yakatiki daa
SIO KWAMBA NILIKUTABIRIA VIBAYA ILA UKWELI NI KWAMBA HUWEZI KUACHA KWAKUTANGAZA
 
Miaka 5 siyo haba, ika we endelea kupiga tu.
Haina madhara yoyote zaidi ya watu kuleta argument za uongo na ukizifuata kwel, basi ndo zinakuharibu kisaikolojia
kikofia unanipa ushauri gani huo
 
Back
Top Bottom