ngoshaboy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 231
- 197
Hahahahaaaaaaaaaaaaa!!!!kwa mtu asiyejua hawezi elewa hii kitu, kuna wakati mizuka ikija unahisi pumzi inakata, unaweza chomoka hata church unaenda toilet unakitupa kimoja unarudi kwenye ibada

Hahahahaaaaaaaaaaaaa!!!!kwa mtu asiyejua hawezi elewa hii kitu, kuna wakati mizuka ikija unahisi pumzi inakata, unaweza chomoka hata church unaenda toilet unakitupa kimoja unarudi kwenye ibada

Ha, ha, haaaaaa nipo huku huku TanzaniaUnapatikana wapi?
Hakuna hayo madhara, nimepiga Puchu kwa miaka 30+ na bado sijayaona!Ukitaka kuacha punyeto ni kuhakikisha kila unapopata hamu kuna mtu wako wa kukuhudumia!Ukiwa nae hata kwa mwezi tu mfululizo unasahau kwa muda, na kurudi normal!Lakini hutaweza kuvumilia kukaa mwezi bila ngono, lazima utapiga tu punyeto!Hili janga la "kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi, kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya, yaani kuacha ni "muujiza", wengine mpaka wanaoa lakini bado wanaendelea.
Wadada humu wanalalamika kuwa hawaridhishwi na wapenzi wao eti kisa "punyeto". Hivi jamani hakuna "sober house" ambazo zinatupokea sisi tulioathiriwa na hii kitu? Maana tangu nifundishwe na mwalimu wa sayansi std 7 mpaka leo sijaacha, popote ulipo ticha mungu anakuona.
moto wa maji Mwenyekiti CHAPUTA
The Book Katibu Mkuu CHAPUTA.
30+?????????Hakuna hayo madhara, nimepiga Puchu kwa miaka 30+ na bado sijayaona!Ukitaka kuacha punyeto ni kuhakikisha kila unapopata hamu kuna mtu wako wa kukuhudumia!Ukiwa nae hata kwa mwezi tu mfululizo unasahau kwa muda, na kurudi normal!Lakini hutaweza kuvumilia kukaa mwezi bila ngono, lazima utapiga tu punyeto!
Acha kumdanganya mtoto mdogo huyoMiaka 5 siyo haba, ika we endelea kupiga tu.
Haina madhara yoyote zaidi ya watu kuleta argument za uongo na ukizifuata kwel, basi ndo zinakuharibu kisaikolojia
Acha kumdanganya mtoto mdogo huyo
-Punyeto ina madhara zaidi ya Kisaikolojia kuliko Kimwili
1.Kukosa Kujiamini mbele za watu
2.Kutoridhika na maisha yako ya kila siku.
3.Kujiona huna thamani mbele za watu
4.Kushindwa kusocialize na jinsia tofauti
5.Uchovu muda wote
6.Kuwa na kumbukumbu hafifu
7.Maumivu ya mgongo
8.Kuwa mzito kufikiri na kung'amua mambo
9.Uvivu uliopitiliza
Wengi wa wapiga nyeto waliokubuhu watakua mashahidi wa dalili nilizotaja hapo juu. Kama unadhani nakutania, Acha nyeto wiki moja uone Tofauti
akili za kuambiwa changanya na zako.Hili janga naona limeongezeka zaidi awamu ya tano, sijui kwanini

Hatare sana mimi nimejiongezea dozi uwezo wa kubeba tena vcheche na milupo kwishney na posho ndio ya mwenge nayo imefutwa sasa sijui itakuaje.awamu ya tano hakuna kubadili mboga ni mwendo wa kula kwa macho.
Mnashindwa kuwapa wanawake show za kibabe, utamu wote mnaumalizia mikononi mnakera
Oyooo ...Nimepiga kimoja cha kusindikizia thread