Kuna 'Sober House' za punyeto?

Kuna 'Sober House' za punyeto?

Okokokeni na mtubu kwa Mungu kwa huo uovu mtaacha hiyo tabia,kuna wakati unaweza kuhisi ni tabia ya mtu lakini sio kweli mara nyingi inakuwa ni mapepo ndio yana kupelekea kufanya hiyo kitu.
ivi punyeto pia ni dhambi?
 
Heeh? ina maana hili tatizo ni KUBWA KIASI HIKI?!


Nadhani dawa ni kuoa, na kama mke mmoja hakutoshelezi, sio vibaya tukifuata mila za wenzetu waislam... tubebe wanne wanne...
 
Yaani hii ni sawa na kisema watu wawe na sober ya kupunguza ashki ya kufanya mapenzi
 
Kuacha inawezekana kabisa. Ila maamuzi hayo yatoke moyoni. Vijana waPunguze kuangalia picha za ngono... fanya mazoezi kwa wingi. Tafuta kitu kinachokuweka busy...
 
Na wanawake nao wanapiga sana punyeto ila wasiri sana.
 
jose
je at ur first sex hukupata shida yoyote kusimamisha yaani nguvu kupungua
pia wasaidie wenzako ulitumia mbinu gani kuacha na kuimarisha nguvu za mme
Nahisi nilipata tatizo jingine, maana mashine hakuna muda ambo ilikuwa ikilala baada ya sex. nilibak kupata maumivu ya mishipa maana ilinibidi niwe nakausha tu maana kama ni show nilihisi namuumiza yule binti, ila muda ulivozidi kwenda ikawa nikikutana na binti ni suala la dakika chache picha linaisha. ila nilipoacha nikarudi normal, na ukijiendekeza sana unaweza kufikia stage uko na mamiloo umetoka kupiga shoo af una tafuta location unajitupia ka ekotite kamoja af ndo ukae sawa
 
dawa ni kuicontrol akili ako tu.. ila ukaacha akili ikuendeshe basi hata mtu akienda sober atapiga huko huko sober house akiwa bafuni.... ukipata hisia fanya kitu ambacho kitakukip busy.. piga tizi kila cku morning/jioni na jiepushe na IDLE MIND.....
 
Back
Top Bottom