Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

Daah hivi kwa nini dada zetu wanapenda sana wanaume warefu weusi?

Kwa nini wanaume weupe au wafupi hawawapendi?
Kwanza sio kweli,madem wanapenda wanaume warefu weupe na wenye six packs,mwanamke siku zote wanapenda
1.mwanaume muaminifu
2.awe na uwezo kiuchum
3.awe anajua mahaba
4.mwenye kujiamin (hapo ndo suala la physical appearances linapokuwa)
5.anaejari,kubembeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
749f4abb2603a141f4b25b5c8baa41ee.jpg

Mh! Kwa apa apana!!!! Too much
Jamii Forums mobile app
 
Mbona mimi ni mrefu mweupe ila napendwa na maduu wafupi weusi

Nazipiga sana hizo.
Mkuu tuko pamoja,mm ni mweupe lakini napenda sana wasichana weusi na huwa hawanikatai kamwe.
Lakini cha ajabu nilijikuta nimeoa mwanamke mweupe na alikuwa mwanamke wa pili mweupe kudate nae,sijui alinifanyaje huyu mama yoyoo..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom