Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,701
- 35,512
sawa.ntaonekana nataman kitu ambacho nidhambi! tumeambiwa tushukuru kwa yote lol!
sawa.ntaonekana nataman kitu ambacho nidhambi! tumeambiwa tushukuru kwa yote lol!
Sababu ya kuangalia sana pilau.....wanahisi hao ni jamii ya kina Mandingo...Daah hivi kwa nini dada zetu wanapenda sana wanaume warefu weusi?
Kwa nini wanaume weupe au wafupi hawawapendi?
Ok.Sababu ya kuangalia sana pilau.....wanahisi hao ni jamii ya kina Mandingo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama mkuu...vipi binti?
sawa.Wanaume dizaini hiyo ni headache... they think hiyo character waliyonayo ndo kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona umeguna hapo?Salama mkuu...
You're welcome maaamaaaaThe Blacker The Berry The Sweeter The Juice
AsanteeeeYou're welcome maaamaaaa
vipi?[emoji87]
Weusi.
Kwenye mapenzi ya dhati hakuna kuangalia urefu wala ufupi...sasa nimeguna hao wanaotaka warefu weusimbona umeguna hapo?
wewe una mpenda mwanaume wa aina ipi?Kwenye mapenzi ya dhati hakuna kuangalia urefu wala ufupi...sasa nimeguna hao wanaotaka warefu weusi
Atakae nionyesha upendo wa dhati....haijalishi yupoje...kikubwa AMANI YA NAFSIwewe una mpenda mwanaume wa aina ipi?
Mbona mimi ni mrefu mweupe ila napendwa na maduu wafupi weusisasa mbona warefu weupe hawapendwi na mademu?
Anhaa sawa.Atakae nionyesha upendo wa dhati....haijalishi yupoje...kikubwa AMANI YA NAFSI