Je, unajua kuwa taifa la Israel lingekuwa katika eneo la Afrika Mashariki?

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Hili lilikuwa pendekezo la Uingereza wakati wa ukoloni.

Image endapo Israel angepata hiyo ardhi hapo Uganda ingekuwaje mpaka sasa. Kwa hali tunayoiyona kwa ndugu zetu Palestine kupokonywa ardhi na kukaliwa kimabavu. Je, tungepokonywa sisi na hawa madhalim na kisha kuuwawa kikatili kama wanavyouwawa wa Palestine, je kuna mtu angeendelea kulishobokea hili taifa linaloitwa Israel?

Sasa ninapomuona mtu mmoja mweusi aliyejazwa mafundisho ya visaasili (Mythology) vya dini kichwani na moyoni halafu mtu huyo anataka kuleta hoja za kipumbavu za kiushabiki na kiutumwa naamua kupuuzia tu.

Huwezi kupinga, kuhoji au kutoa maoni kuhusu issue ya Palestine na Israel kama hujui kuhusu mambo yafuatayo;

1. Khazaria Ashkenazi Jews

2. Historia ya Zionism movement na tabia zake

3. Azimio la Balfour Declaration of 1917

4. Uganda Scheme of 1903.

5. Proposals for a Jewish state (Maeneo yaliyokoswa koswa kuwa Israel na Tanzania ilikuwa miongoni)

6. Fake and staged holocaust Jews from 230000 to 6.5 milion Jews (lies)

7. Historia ya Ottoman Empire and mandate Plestine chini ya Muingereza

8. Nini maana ya "SS Exodus ya 1947?

10. UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini?

11. 14th may 1948 kulitokea Tukio gani?

12. 1950s Israel na Marekani kwanini walianzisha neno Ugaidi na Magaidi?

13. Ukatiri, Ubaguzi, Mauaji , Ubomoaji makazi na Ukoloni wa kutumia Jeshi uliofanyika kuanzia 1948 hadi leo.

14. Tofauti Kati ya Waisrael (watu weusi) na Wayahudi (Zionists yaani wazungu na walowezi
kutoka Ulaya).

15. Ni kwanini Marekani ndo lilkuwa Taifa la kwanza kuitambua Israel?

16. Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika Walikataa kuitambua Israel hata Mwl. Nyerere?

17. Sasa hapo unaweza kutoa hoja lakini kama umejazwa Chuki, Visaasili vya dini na Udini huwezi kujadili la maana kuhusu Israel na Palestine, sanasana utaishia kusema "Atayebariki atabalikiwa atakayelaani atalaaniwa" as if Mungu ni mkabila.

IMG_20231115_203358.jpg
 
Nini afrika mashariki? Mbona hukusema ilikuwa wapewe eneo huko amerika kusini? We mwenyewe unaandika huku unaonekana wazi una chuki na wayahudi kutokana na dini unayoiabudu, we ni muislam maana waislam wana chuki kubwa na wayahudi. Unachokiandika tunakijua na tumekisoma sana na hatuachi kuitakia baraka israel pia hatuna chuki na wapalestina
 
Ni nchi gani ya kiafrika ukiacha south afrika wanayoishi wazungu wengi? Kasome vizuri harakati za uzayuni wakati wanaanza kurudi kwenye ardhi yao mashariki ya kati iliyokuwa tayari inakaliwa na waarabu hao wapalestina. Unaandika kwa mhemuko wa dini yako ya kiislam
 
kwani hapa tanzagiza hali ikoje sasa hadi uongelee uganda/palestina? Wamasai wamefukuzwa kwenye ardhi yao asili kupisha foreigners, bandari, misitu, wanyama vyote foreigners wanabeba, na hawaja fire not a single shot, hata wajukuu zetu watakuwa kama wapalestina pia or worse.

hivyo angalia ndani ya mipaka yako kwanza, watanzagiza ni watumwa kwenye ardhi yao hata kama hawataki kuamini, you dont own anything hapa tanzagiza, uchumi >85% uko chini ya wahindi na waarabu, mashirika yetu pia yako tayari kuuzwa tanesco, ttcl are next …
 
Nakumbusha tu, kuna vita kali sana south sudan sasa hivi.

Nakumbusha zaidi sudani ni mwanachama wa east african community tangu 2016.

Kutoka tanzania mpaka sudan kuna umbali wa km 2000 hivi.

Kutoka tanzania kwenda israel kuna umbali wa km 5000 hivi.

Ebu twende na haya ya huku kwetu, east africa community.

Tuachane na haya ya huko kwao.
 
NAKUMBUSHA TU, KUNA VITA KALI SANA SUDAN SASA HIVI.
NAKUMBUSHA ZAIDI SUDANI NI MWANACHAMA WA EAST AFRICAN COMMUNITY TANGU 2016.
KUTOKA TANZANIA MPAKA SUDAN KUNA UMBALI WA KM 2000 HIVI.
KUTOKA TANZANIA KWENDA ISRAEL KUNA UMBALI WA KM 5000 HIVI.

EBU TWENDE NA HAYA YA HUKU KWETU, EAST AFRICA COMMUNITY.
TUACHANE NA HAYA YA HUKO KWAO.
Mkuu Sudan siyo mwanachama wa EAC na hajawahi.

Mwanachama wa EAC ni Sudan Kusini ( South Sudan) aliyejiunga 2016
 
Akina Daudi, Musa, n. K. Hawakuzikwa huku, hivyo Wayahudi wanaishi walikozikwa mababu zao na hamna kenge inaweza kubadilisha hilo, Mungu wao ni mkuu kuzidi wenu, kila wakipambanishwa wa kwenu hutoka nduki.
 
Kwanza sijui kama Israel wangekubali kukaa huku Afrika mashariki wakati sehemu ambayo wanahistoria nayo wanaijua ilipo

Na wangekaa huku nadhani wangetulia maana nikama wamepewa ufadhili sehemu ambayo hawana kumbukumbu nayo yoyote.

Wanagombana na wapalestina sio tu kwasababu ya ardhi Bali wanamaeneo yao muhimu ya kiimani wanayahitaji kutokana na historia yao, Sasa hapa Afrika mashariki historia yao inawaonesha Nini nadhani wangekuwa kama Liberia ama siera Leon kama kipigana wangepigana wenyewe Kwa wenyewe
 
Hili lilikuwa pendekezo la Uingereza wakati wa ukoloni.

Image endapo ISRAEL angepata hiyo ardhi Apo uganda ingekuwaje mpaka sasa. KWA hali tunayoiyona KWA Ndugu zetu PALESTINE kupokonywa ardhi na kukaliwa kimabavu. JE tungepokonywa sisi na hawa madhalim na kisha kuuwawa kikatili kama wanavyouwawa wa PALESTINE je kuna mtu angeendelea kulishobokea hili taifa linaloitwa ISRAEL

Sasa ninapomuona Mtu mmoja mweusi aliyejazwa mafundisho ya Visaasili (Mythology) vya dini Kichwani na moyoni alafu MTU huyo anataka kuleta hoja za KIPUMBAVU za kiushabiki na kiutumwa naamua kupuuzia tu

Huwezi kupinga,kuhoji au kutoa maoni kuhusu issue ya PALESTINE na ISRAEL Kama hujui kuhusu mambo YAFUATAYO

1. Khazaria Ashkenazi Jews

2. Historia ya Zionism movement na tabia zake

3. Azimio la BALFOUR DECLARATION OF 1917..

4. Uganda Scheme of 1903.

5. Proposals for a Jewish state ( Maeneo yaliyokoswa koswa kuwa israel na TANZANIA ilikuwa miongoni)

6. FAKE AND STAGED HOLOCAUST JEWS FROM 230000 TO 6.5 MILION JEWS ( LIES)

7. HISTORIA YA OTTOMAN EMPIRE AND MANDATE PALESTINE CHINI YA muingereza.

8. Nini maana ya "SS EXODUS ? ya 1947?

10. UNO Resolution 181(II) la 1947 tarehe 29th November Tukio lililofanyika lilikuwa linahusu nini?

11.14th may 1948 kulitokea Tukio gani?

12. 1950s Israel na MAREKANI kwanini walianzisha neno UGAIDI na MAGAIDI?

13. UKATIRI, UBAGUZI, MAUAJI , UBOMOAJI MAKAZI ,NA UKOLONI WA KUTUMIA JESHI uliofanyika Kuanzia 1948 Hadi leo

14. Tofauti Kati ya WAISRAEL ( watu weusi) na WAYAUDI ( Zionists yaani wazungu na walowezi
kutoka ulaya)

15. Ni Kwanini MAREKANI ndo lilkuwa Taifa la kwanza kuitambua Israel?

16. Kwanini Wanaharakati wote walioleta Uhuru barani Afrika WALIKATAA kuitambua Israel hata Mwl. Nyerere?

17. Sasa Hapo unaweza kutoa hoja lakini Kama umejazwa chuki, Visaasili vya dini na Udini huwezi kujadili la maana kuhusu ISRAEL na PALESTINE ...sanasana utaishia kusema " ATAYEBARIKI ATABALIKIWA ATAKAYELAANI ATALAANIWA " as if Mungu ni Mkabira.

View attachment 2814732
Waislamu na waarabu wana chuki na wivu na husda kwa Wayahudi.

Hayo ndio maagizo ya Mungu wao wa Kiarabu Allah.

Anayewachukia wayahudi na Mungu wao Yehova
 
Nawasubiri Kwa hamu wanijibu maswali yangu. Maana washalishwa sumu za kiimani hawajui lolote kuhusu historia ya israel zaidi ya kuleta ushabiki wa kindezi
Kwa hiyo ni mpalestina? Mbona nyie black mamba hua mnajifanya waarabu wakati waarabu wenyewe wanawaita nyie ni manyani na watumwa wao anaeipenda israel acha aipende na ww wapende hao waarabu wenzako halaf suala na kuonewa kwanini hao waarabu wasiungane waipoteze israel yaani watu bilioni moja mnateseka kwa ajili ya watu ambao hawafiki hta milioni kumi huoni nyie ni wajinga na wapumbavu
 
Muisrael alikataa kuja uganda sababu anajua Wana nchi yao waliyoachiwa na mababu.
Nani kakudanganya wapalestina ni ndugu zetu, wakati tunapigana na Uganda walijitokeza kumsaidia Idi Amini. Israel alikataa kumpa Amini msaada wa kijeshi ili waipige Tanzania. Kama wangekuwa ndugu zetu wasingeteka watanzania.
 
we ndio mpumbavu, ni nchi gani ya kiafrika ukiacha south afrika wanayoishi wazungu wengi? Kasome vizuri harakati za uzayuni wakati wanaanza kurudi kwenye ardhi yao mashariki ya kati iliyokuwa tayari inakaliwa na waarabu hao wapalestina. Unaandika kwa mhemuko wa dini yako ya kiislam
Hatari sana!

Mwandishi Mohamedex121 anapoandika historia pasipo kuanzia awali ya awali (begin of the beginning) sio ajabu kukuta andiko halijashiba!

Dini na Udini ndio uhai wenyewe! Inaposemwa Dini na Udini haikomi kwenye Ukristo ama Uislamu ama Upagani. Dini ni Imani kali kuhusu namna mwanadamu anavyoweza kuunganisha jana leo na kesho!

Imani za dini Ukristo na Uislamu ama Uyahudi, muasisi wake ni Abraham na Bosi wake ni Mungu, mbali hizi imani tatu wakazi wa Dunia hii wanazo Imani na dini zinginezo nyingi tu ambazo Nabii Musa alipoleta biashara za amri za Mungu, Mungu wa Musa alielekeza hakuna anayestahiki kubudiwa zaidi yake Mungu wa Musa.

Mengi yanasemwa kuhusu visaasili na dini na Imani...jambo la kushangaza kadri dini zinavyopigwa vita, ndio vivyo hivyo dini nav visaasili vyake ndio vinazidi kutawala Dunia hii ya Musa na Mungu wake.
 
Wewe dili na mambo ya huku kwetu Africa kama vile DRC na Sudan, achana na matakataka ya huko Mashariki ya kati. Kila mmoja ale nyumbani kwake!
Yeah tunawapambania Watu weupe mbali uko. Wakati ndugu zetu Kongo drc vs m23 Hali sio shwari, sudani wamekiwasha, Nigeria nao wanakura za uso kutoka kwa Boko , central Africa Hali ya hewa haileweki muda wwt kinanuka, msumbiji wamakonde wamesala yaani dah ngoja nitulie orodha ni kubwa Sana😭.
 
Back
Top Bottom