niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,522
- 4,997
Kuna thread popoma Genta aliongelea kuhusu wanafunzi Kada ya afya kufeli mithihani kwa wingi.
Siyo tu wanafunzi ila ni vilaza kabisa. Tanzania sasa hivi hivi vyuo vy wakunga na dr vimemea kama uyoga na ni hatari kweli kweli kwani graduates wake hawana ujuzi. Bado narudia tena: ubovu wa uongozi wa nchi yetu kila mtu ataathirika nao, japo wengi hawawezi kufanya correlation kati ya uongozi mbovu na matatizo wanayokutana nayo. Halafu mwanzisha thread ni hivi: hawa unaowaambia waangalie hii issue hawana muda na wala hawajali.Madaktari wanafunzi wanaachiwa kufanya operation. Mwaka juzi kidogo tumpoteze dada yetu kwasababu hii huko Seriani Arusha
Mungu hawezi kutusamahe kwa sababu ameshatupa akili na maarifa. Mbona mataifa mengine wameweza? Tatizo ni uongozi mbovu usiojali. Dawa ni wananchi kuwa wakali. Hata tukibadilisha serikali wakaingia chama kingine, bila wananchi kuwa wakali ni bure.Tulikosea wapi sisi Watanzani?? Mungu atusamehe kwakweli inauma sana. Madaktari wanaleta simanzi kwa Watanzania
Pole sanaUmenikumbusha miaka 12 iliyopita pale kairuki hospital nilimpoteza Hilda my wife kwa uzembe wa Drs baada ya operation
Mie mzee alisemaga kabisa wajukuu leteni hata milioni mie ntawapokea lakini mnapowapa mimba wake zenu andaeni kabisa budget ya kwenda kujifungulia private iwe kawaida au kisu na msirogwe mkawapeleka government hosptalInaumiza sana ndugu zangu.
Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu..
Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea.
Inauma Sana ndugu zangu,
Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate malaika, mnaambulia Miili miwili isiyotikisikaa... Mbaya zaidi uone kuna hali ya uzembe ilifanyika.
Isikie tuu hii kwa mtu ndugu yangu..
Hiki ni nini? Au ni coincidence tuu kwa bahati mbaya imetokea zaidi kwa watu ninaowafahamu?
Hivi hua hospital wana keep Data? If yes Are they real? Data zinasemaje? Zinafanyiwa kazi? Maana sidhani kama ni kawaida..
Kwa Moyo wa dhati NIIOMBE Serikali kupitia wizara ya Afya Fuatilieni hili Zaidi, kuna uzembe,
Mmoja kati ya hao Pamba ilisahaulika Tumboni Dodoma hapo, mwingine naye mistake katika kutenganisha Kitovu, Mwingine naye kuna sehemu ilikawa vibaya...
Haya ni makosa ya kibinadamu..
Hatuna chance ya makosa ya kibinadamu katika Afya ya mtu jamani..
Wahusika Niwaombe ndugu zetu, nyie ni professional, mmekula viapo, Mnalipwa, Jitoeni katika kazi zenu, Fanya Ukijua uhai wa viumbe hao upo mikononi mwako,
Kueni makini na Afya za Mama zetu, Dada zetu na wote kwa ujumla, mmeaminiwa sanaa..
Itokee kwa mipango ya Mungu ila sio kwa uzembe..
Serikali nawaomba Sana viongozi wangu, Chukueni hili katika positive way ya kuokoa mama na mtoto..
Siandiki hapa kama Niliyepoteza Mke au Ndugu, naandika kama binadamu niliyeumia SANAA kuona ndugu zetu hawa Wanatutoka katika picha kama hizo...
Nawaomba Tena Chukueni hili katiaka Positive way,
Mpo hapo kuokoa jamii kubwa nyuma yenu, Jivunie Kuo mmoja wa waliokoa mamia ya mama zetu na taifa la kesho, Siku Moja utalipwa, this is real sio siasa.
Ni suala la kitaalamu, litatuliwe kitaalamu.
Rai kwa Mama na dada zangu, Mnaopokua wajawazito, Punguzeni Utandawazi, epukeni Uzazi wa operation usio wa lazima kwa kisingizio hutaki uchungu, Jipe mazoezi.
Poleni Sana Wote mlitokwa na Wapendwa Wenu katika picha kama hii..
AMEN.
Meter hospital Mbeya ni hatariWanafunzi wanaachiwa kutibu,kufanya upasuaji bila dokta bingwa kuwepo,matokeo yake matatizo tupu
Wanasema papuchi itatanuka bora operationMimi sijui kwakweli...ila kwa mliopo Dodoma narecommend mkitaka kujifungua au wake zenu wakitaka kujifungua nendeni DCMC Ntyuka kule...kule hakuna wanafunzi ni profesional doctors..mimi walinisaidia sitakaa nisahau...labda kama wamebadilika siku hizi..
Kama mtoa mada alivyoshauri why mlazimishe kuzaa kwa operation? Yani imekua fashion these days...operation ilikua kwa cases chache ambazo daktari aliona afanye ili kuokoa maisha baada ya natural birth kushindikana...
Au watu wanaumwa magonjwa wanaogopa kuambukiza watt wao? Au Maana kila unaemsikia operation
Unapatikana wapi mkuuHii ndo miez hua inaitwa chinja chinja.
Ukweli usemwe, hii miez ndo wanafunzi wanaingia internship n.k, kwaio wanachofanya ni mazoez kwenye miili ya binadamu. Na wale madaktari wakubwa hawaoni aibu kuwaachia watoto wafanye wanavyotaka.
Rai yangu, serikali haiwez kukusaidia, inabidi ujipambanie mwenyewe. Mke au ndugu yako anapopata ujauzito anza kuweka mazingira sahihi mapema kukwepa haya majanga.
Mfano mke wangu, alipokaribia nlihakikisha nmemseti specialist. Na kweli alifanyiwa operation ya dharura na ni huyo huyo jamaa alimwambia kabisa kua nsipokufanyia kesho mimi nasafiri after that, kwaio akafanyiwa. Wengine waliofanyiwa operation the same day na watu wengine walirudi na complications kibao.
Tuwe makini sana na hospitali, maana kumeoza huko kila kitu n bora liende. Naongea kwa uzoefu maana nko kwenye hyo field. Kaa chonjo
wee huko kidogo mama yangu mdogo alale yooo, eti professional doctor 😆 akasahau kushona ngozi ya ndani sijui ila nakumbuka aliteseka sana almost a year.Mimi sijui kwakweli...ila kwa mliopo Dodoma narecommend mkitaka kujifungua au wake zenu wakitaka kujifungua nendeni DCMC Ntyuka kule...kule hakuna wanafunzi ni profesional doctors..mimi walinisaidia sitakaa nisahau...labda kama wamebadilika siku hizi..
Kama mtoa mada alivyoshauri why mlazimishe kuzaa kwa operation? Yani imekua fashion these days...operation ilikua kwa cases chache ambazo daktari aliona afanye ili kuokoa maisha baada ya natural birth kushindikana...
Au watu wanaumwa magonjwa wanaogopa kuambukiza watt wao? Au Maana kila unaemsikia operation
Pole mkuu !Inaumiza sana ndugu zangu.
Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu..
Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea.
Inauma Sana ndugu zangu,
Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate malaika, mnaambulia Miili miwili isiyotikisikaa... Mbaya zaidi uone kuna hali ya uzembe ilifanyika.
Isikie tuu hii kwa mtu ndugu yangu..
Hiki ni nini? Au ni coincidence tuu kwa bahati mbaya imetokea zaidi kwa watu ninaowafahamu?
Hivi hua hospital wana keep Data? If yes Are they real? Data zinasemaje? Zinafanyiwa kazi? Maana sidhani kama ni kawaida..
Kwa Moyo wa dhati NIIOMBE Serikali kupitia wizara ya Afya Fuatilieni hili Zaidi, kuna uzembe,
Mmoja kati ya hao Pamba ilisahaulika Tumboni Dodoma hapo, mwingine naye mistake katika kutenganisha Kitovu, Mwingine naye kuna sehemu ilikawa vibaya...
Haya ni makosa ya kibinadamu..
Hatuna chance ya makosa ya kibinadamu katika Afya ya mtu jamani..
Wahusika Niwaombe ndugu zetu, nyie ni professional, mmekula viapo, Mnalipwa, Jitoeni katika kazi zenu, Fanya Ukijua uhai wa viumbe hao upo mikononi mwako,
Kueni makini na Afya za Mama zetu, Dada zetu na wote kwa ujumla, mmeaminiwa sanaa..
Itokee kwa mipango ya Mungu ila sio kwa uzembe..
Serikali nawaomba Sana viongozi wangu, Chukueni hili katika positive way ya kuokoa mama na mtoto..
Siandiki hapa kama Niliyepoteza Mke au Ndugu, naandika kama binadamu niliyeumia SANAA kuona ndugu zetu hawa Wanatutoka katika picha kama hizo...
Nawaomba Tena Chukueni hili katiaka Positive way,
Mpo hapo kuokoa jamii kubwa nyuma yenu, Jivunie Kuo mmoja wa waliokoa mamia ya mama zetu na taifa la kesho, Siku Moja utalipwa, this is real sio siasa.
Ni suala la kitaalamu, litatuliwe kitaalamu.
Rai kwa Mama na dada zangu, Mnaopokua wajawazito, Punguzeni Utandawazi, epukeni Uzazi wa operation usio wa lazima kwa kisingizio hutaki uchungu, Jipe mazoezi.
Poleni Sana Wote mlitokwa na Wapendwa Wenu katika picha kama hii..
AMEN.
How?Umenikumbusha miaka 12 iliyopita pale kairuki hospital nilimpoteza Hilda my wife kwa uzembe wa Drs baada ya operation
Mimi sijui kwakweli...ila kwa mliopo Dodoma narecommend mkitaka kujifungua au wake zenu wakitaka kujifungua nendeni DCMC Ntyuka kule...kule hakuna wanafunzi ni profesional doctors..mimi walinisaidia sitakaa nisahau...labda kama wamebadilika siku hizi..
Kama mtoa mada alivyoshauri why mlazimishe kuzaa kwa operation? Yani imekua fashion these days...operation ilikua kwa cases chache ambazo daktari aliona afanye ili kuokoa maisha baada ya natural birth kushindikana...
Au watu wanaumwa magonjwa wanaogopa kuambukiza watt wao? Au Maana kila unaemsikia operation
🤣🤣🤣 pole sana kamandaNchi imepatwa na Madr uchwara!Kuna mmoja wa meno nimeenda kuliondoa jamaa kalivunja juu kaniambia tayari,kumbe kaacha kisiki.
Inasikitisha sana, pamoja na uzembe wa ma Dakitari ila mtindo wa maisha unachangia pia. Sisi Mama zetu walienda shambani wakowa na mimba ya miezi minane tena unakuta analima, anachota maji etc, ukifika wakati wa kujifungua mtoto anafyatuka! Ila wa kisasa kidogo tu hawezi kusukuma, anapelekwa operation. Nadhani kuna umuhimu wa elimu ya mimba kutolewa kwa wazazi vijanaHii kitu nilikuwa naongea na mtu jana....
Hali inasikitisha..
Unakuta Binti mdogo tu anafariki... ukiuliza 'Changamoto ya Uzazi.'