Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

Madaktari wanafunzi wanaachiwa kufanya operation. Mwaka juzi kidogo tumpoteze dada yetu kwasababu hii huko Seriani Arusha
Siyo tu wanafunzi ila ni vilaza kabisa. Tanzania sasa hivi hivi vyuo vy wakunga na dr vimemea kama uyoga na ni hatari kweli kweli kwani graduates wake hawana ujuzi. Bado narudia tena: ubovu wa uongozi wa nchi yetu kila mtu ataathirika nao, japo wengi hawawezi kufanya correlation kati ya uongozi mbovu na matatizo wanayokutana nayo. Halafu mwanzisha thread ni hivi: hawa unaowaambia waangalie hii issue hawana muda na wala hawajali.
 
Tulikosea wapi sisi Watanzani?? Mungu atusamehe kwakweli inauma sana. Madaktari wanaleta simanzi kwa Watanzania
Mungu hawezi kutusamahe kwa sababu ameshatupa akili na maarifa. Mbona mataifa mengine wameweza? Tatizo ni uongozi mbovu usiojali. Dawa ni wananchi kuwa wakali. Hata tukibadilisha serikali wakaingia chama kingine, bila wananchi kuwa wakali ni bure.
 
Mpaka itapofika hatua ya watu wa afya kuchukuliwa hatua za kisheria panapokua na uzembe kama nchi za wenzetu basi mambo yatabadilika.

Lakini hilo haliwezekani hivi karibuni sababu serikali yenyewe ni ya mchongo, haijali mazingira ya hizo hospitali wala afya za wananchi zake maana muda unavyozidi wanazidi kuongeza ufinyu wa huduma kwa wananchi wa kipato cha kati kushuka chini (ambao ni majority) na inafanya mambo kisiasa so wananchi wanaotumia huduma za serikalini watazidi kuumia vizazi na vizazi

Sababu WAFANYAKAZI HAO HAO UZEMBE WANAOFANYA SERIKALINI HAWAUFANYI KWA KIWANGO KIKUBWA WAKIWA PRIVATE SABABU YA KULINDA UGALI, ILA GOVERNMENT SET UPS HAWANA CHA KUPOTEZA.
 
Mimi sijui kwakweli...ila kwa mliopo Dodoma narecommend mkitaka kujifungua au wake zenu wakitaka kujifungua nendeni DCMC Ntyuka kule...kule hakuna wanafunzi ni profesional doctors..mimi walinisaidia sitakaa nisahau...labda kama wamebadilika siku hizi..
Kama mtoa mada alivyoshauri why mlazimishe kuzaa kwa operation? Yani imekua fashion these days...operation ilikua kwa cases chache ambazo daktari aliona afanye ili kuokoa maisha baada ya natural birth kushindikana...
Au watu wanaumwa magonjwa wanaogopa kuambukiza watt wao? Au Maana kila unaemsikia operation
 
Hii ndo miez hua inaitwa chinja chinja.
Ukweli usemwe, hii miez ndo wanafunzi wanaingia internship n.k, kwaio wanachofanya ni mazoez kwenye miili ya binadamu. Na wale madaktari wakubwa hawaoni aibu kuwaachia watoto wafanye wanavyotaka.
Rai yangu, serikali haiwez kukusaidia, inabidi ujipambanie mwenyewe. Mke au ndugu yako anapopata ujauzito anza kuweka mazingira sahihi mapema kukwepa haya majanga.
Mfano mke wangu, alipokaribia nlihakikisha nmemseti specialist. Na kweli alifanyiwa operation ya dharura na ni huyo huyo jamaa alimwambia kabisa kua nsipokufanyia kesho mimi nasafiri after that, kwaio akafanyiwa. Wengine waliofanyiwa operation the same day na watu wengine walirudi na complications kibao.
Tuwe makini sana na hospitali, maana kumeoza huko kila kitu n bora liende. Naongea kwa uzoefu maana nko kwenye hyo field. Kaa chonjo
 
Inaumiza sana ndugu zangu.
Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu..
Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea.

Inauma Sana ndugu zangu,
Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate malaika, mnaambulia Miili miwili isiyotikisikaa... Mbaya zaidi uone kuna hali ya uzembe ilifanyika.
Isikie tuu hii kwa mtu ndugu yangu..

Hiki ni nini? Au ni coincidence tuu kwa bahati mbaya imetokea zaidi kwa watu ninaowafahamu?
Hivi hua hospital wana keep Data? If yes Are they real? Data zinasemaje? Zinafanyiwa kazi? Maana sidhani kama ni kawaida..

Kwa Moyo wa dhati NIIOMBE Serikali kupitia wizara ya Afya Fuatilieni hili Zaidi, kuna uzembe,
Mmoja kati ya hao Pamba ilisahaulika Tumboni Dodoma hapo, mwingine naye mistake katika kutenganisha Kitovu, Mwingine naye kuna sehemu ilikawa vibaya...
Haya ni makosa ya kibinadamu..
Hatuna chance ya makosa ya kibinadamu katika Afya ya mtu jamani..

Wahusika Niwaombe ndugu zetu, nyie ni professional, mmekula viapo, Mnalipwa, Jitoeni katika kazi zenu, Fanya Ukijua uhai wa viumbe hao upo mikononi mwako,
Kueni makini na Afya za Mama zetu, Dada zetu na wote kwa ujumla, mmeaminiwa sanaa..
Itokee kwa mipango ya Mungu ila sio kwa uzembe..

Serikali nawaomba Sana viongozi wangu, Chukueni hili katika positive way ya kuokoa mama na mtoto..
Siandiki hapa kama Niliyepoteza Mke au Ndugu, naandika kama binadamu niliyeumia SANAA kuona ndugu zetu hawa Wanatutoka katika picha kama hizo...

Nawaomba Tena Chukueni hili katiaka Positive way,
Mpo hapo kuokoa jamii kubwa nyuma yenu, Jivunie Kuo mmoja wa waliokoa mamia ya mama zetu na taifa la kesho, Siku Moja utalipwa, this is real sio siasa.
Ni suala la kitaalamu, litatuliwe kitaalamu.

Rai kwa Mama na dada zangu, Mnaopokua wajawazito, Punguzeni Utandawazi, epukeni Uzazi wa operation usio wa lazima kwa kisingizio hutaki uchungu, Jipe mazoezi.

Poleni Sana Wote mlitokwa na Wapendwa Wenu katika picha kama hii..

AMEN.
Mie mzee alisemaga kabisa wajukuu leteni hata milioni mie ntawapokea lakini mnapowapa mimba wake zenu andaeni kabisa budget ya kwenda kujifungulia private iwe kawaida au kisu na msirogwe mkawapeleka government hosptal
 
Mimi sijui kwakweli...ila kwa mliopo Dodoma narecommend mkitaka kujifungua au wake zenu wakitaka kujifungua nendeni DCMC Ntyuka kule...kule hakuna wanafunzi ni profesional doctors..mimi walinisaidia sitakaa nisahau...labda kama wamebadilika siku hizi..
Kama mtoa mada alivyoshauri why mlazimishe kuzaa kwa operation? Yani imekua fashion these days...operation ilikua kwa cases chache ambazo daktari aliona afanye ili kuokoa maisha baada ya natural birth kushindikana...
Au watu wanaumwa magonjwa wanaogopa kuambukiza watt wao? Au Maana kila unaemsikia operation
Wanasema papuchi itatanuka bora operation
 
Hii ndo miez hua inaitwa chinja chinja.
Ukweli usemwe, hii miez ndo wanafunzi wanaingia internship n.k, kwaio wanachofanya ni mazoez kwenye miili ya binadamu. Na wale madaktari wakubwa hawaoni aibu kuwaachia watoto wafanye wanavyotaka.
Rai yangu, serikali haiwez kukusaidia, inabidi ujipambanie mwenyewe. Mke au ndugu yako anapopata ujauzito anza kuweka mazingira sahihi mapema kukwepa haya majanga.
Mfano mke wangu, alipokaribia nlihakikisha nmemseti specialist. Na kweli alifanyiwa operation ya dharura na ni huyo huyo jamaa alimwambia kabisa kua nsipokufanyia kesho mimi nasafiri after that, kwaio akafanyiwa. Wengine waliofanyiwa operation the same day na watu wengine walirudi na complications kibao.
Tuwe makini sana na hospitali, maana kumeoza huko kila kitu n bora liende. Naongea kwa uzoefu maana nko kwenye hyo field. Kaa chonjo
Unapatikana wapi mkuu
 
Mimi sijui kwakweli...ila kwa mliopo Dodoma narecommend mkitaka kujifungua au wake zenu wakitaka kujifungua nendeni DCMC Ntyuka kule...kule hakuna wanafunzi ni profesional doctors..mimi walinisaidia sitakaa nisahau...labda kama wamebadilika siku hizi..
Kama mtoa mada alivyoshauri why mlazimishe kuzaa kwa operation? Yani imekua fashion these days...operation ilikua kwa cases chache ambazo daktari aliona afanye ili kuokoa maisha baada ya natural birth kushindikana...
Au watu wanaumwa magonjwa wanaogopa kuambukiza watt wao? Au Maana kila unaemsikia operation
wee huko kidogo mama yangu mdogo alale yooo, eti professional doctor 😆 akasahau kushona ngozi ya ndani sijui ila nakumbuka aliteseka sana almost a year.
 
Inaumiza sana ndugu zangu.
Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu..
Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea.

Inauma Sana ndugu zangu,
Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate malaika, mnaambulia Miili miwili isiyotikisikaa... Mbaya zaidi uone kuna hali ya uzembe ilifanyika.
Isikie tuu hii kwa mtu ndugu yangu..

Hiki ni nini? Au ni coincidence tuu kwa bahati mbaya imetokea zaidi kwa watu ninaowafahamu?
Hivi hua hospital wana keep Data? If yes Are they real? Data zinasemaje? Zinafanyiwa kazi? Maana sidhani kama ni kawaida..

Kwa Moyo wa dhati NIIOMBE Serikali kupitia wizara ya Afya Fuatilieni hili Zaidi, kuna uzembe,
Mmoja kati ya hao Pamba ilisahaulika Tumboni Dodoma hapo, mwingine naye mistake katika kutenganisha Kitovu, Mwingine naye kuna sehemu ilikawa vibaya...
Haya ni makosa ya kibinadamu..
Hatuna chance ya makosa ya kibinadamu katika Afya ya mtu jamani..

Wahusika Niwaombe ndugu zetu, nyie ni professional, mmekula viapo, Mnalipwa, Jitoeni katika kazi zenu, Fanya Ukijua uhai wa viumbe hao upo mikononi mwako,
Kueni makini na Afya za Mama zetu, Dada zetu na wote kwa ujumla, mmeaminiwa sanaa..
Itokee kwa mipango ya Mungu ila sio kwa uzembe..

Serikali nawaomba Sana viongozi wangu, Chukueni hili katika positive way ya kuokoa mama na mtoto..
Siandiki hapa kama Niliyepoteza Mke au Ndugu, naandika kama binadamu niliyeumia SANAA kuona ndugu zetu hawa Wanatutoka katika picha kama hizo...

Nawaomba Tena Chukueni hili katiaka Positive way,
Mpo hapo kuokoa jamii kubwa nyuma yenu, Jivunie Kuo mmoja wa waliokoa mamia ya mama zetu na taifa la kesho, Siku Moja utalipwa, this is real sio siasa.
Ni suala la kitaalamu, litatuliwe kitaalamu.

Rai kwa Mama na dada zangu, Mnaopokua wajawazito, Punguzeni Utandawazi, epukeni Uzazi wa operation usio wa lazima kwa kisingizio hutaki uchungu, Jipe mazoezi.

Poleni Sana Wote mlitokwa na Wapendwa Wenu katika picha kama hii..

AMEN.
Pole mkuu !

Naomba unisaidie maswali haya

1.Vifo vya wapendwa wako vilitokea baada ya upasuaji au wakati wa upasuaji?

2.Mmoja umegusia Pamba (Gauze) iliyoachwa tumbuni kule Dodoma.Hii pamba iligundulika baada ya muda gani kuwa imeachwa tumboni ?Ndiyo iliyosabisha kifo?
 
Mimi sijui kwakweli...ila kwa mliopo Dodoma narecommend mkitaka kujifungua au wake zenu wakitaka kujifungua nendeni DCMC Ntyuka kule...kule hakuna wanafunzi ni profesional doctors..mimi walinisaidia sitakaa nisahau...labda kama wamebadilika siku hizi..
Kama mtoa mada alivyoshauri why mlazimishe kuzaa kwa operation? Yani imekua fashion these days...operation ilikua kwa cases chache ambazo daktari aliona afanye ili kuokoa maisha baada ya natural birth kushindikana...
Au watu wanaumwa magonjwa wanaogopa kuambukiza watt wao? Au Maana kila unaemsikia operation

Operation zimekuwa nyingi siku hizi sababu watu wanachelewa kuzaa

Ni risk sana kumzalisha kwa kawaida mwanamke wa miaka 30 ambaye ndie anaanza kuzaa first born wake.

Ndio maana operation nyingi
 
Haya ndiyo matunda ya kuingiza siasa kwenye kila kitu. Mpaka kada nyeti kama udaktari imeingiliwa. Watu wanakufa sana kwa sababu ya uzembe tu wa hawa madaktari wa kisasa hawa.

Vyuo vinavyozalisha hawa madaktari vimeota kama uyoga na hakuna anayejua ubora wa elimu inayotolewa huko. Taifa lisilo na vipaumbele. Kila kitu ni siasa 🚮🚮🚮
 
Hii kitu nilikuwa naongea na mtu jana....

Hali inasikitisha..

Unakuta Binti mdogo tu anafariki... ukiuliza 'Changamoto ya Uzazi.'
Inasikitisha sana, pamoja na uzembe wa ma Dakitari ila mtindo wa maisha unachangia pia. Sisi Mama zetu walienda shambani wakowa na mimba ya miezi minane tena unakuta analima, anachota maji etc, ukifika wakati wa kujifungua mtoto anafyatuka! Ila wa kisasa kidogo tu hawezi kusukuma, anapelekwa operation. Nadhani kuna umuhimu wa elimu ya mimba kutolewa kwa wazazi vijana
 
Back
Top Bottom