themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Hayati Magufuli alikaa miaka mitano hakuna mgawo sasa ndani ya muda mfupi tu wa awamu hii.Mgao wa umeme umerudi kwa kasi na bado wanamsifia anaupiga mwingi nieleweshwe
Mfumuko wa bei ni mkubwa pesainashuka.Thamani kwa kasi ya 5g, Now serikali imkosa mbinu ya kudeal na mfumuko wa bei imebaki kuongeza bei kila kona,awamu hii nauli za mabasi zimepanda mara mbili kila kitu now ni bei juu sijui tunaelekea wapi
Naongea hya mambo nikiwa nikijana ambae nachapa kazi zangu binafsi na sometime naingiza hata 3m kwa mwezi ila nikiona vitu vilivyopanda bei huwa natafakari watu wenye mishahara midogo sijui wana hali gani
Now ukienda Gengeni vitu vimepanda bei balaa yaani pesa inashuka thamani kwa kasi ya 5g badala ya kuinusuru watu wanakimbilia kupandisha bei, mwisho wa siku kila.
Kitu kitapanda hakuna atakae mkomoa mwenzake itakuwa ni kukomoana na kiuatacho ni hela kushuka thamani