Kuna raha gani kuwa mchawi?

Kuna raha gani kuwa mchawi?

Dah nilikuwa najua tu kwenye hii mada sitasalimika... Anyaway uchawi ni kama kilevi kingine chochote kama madawa ya kulevya, pombe sigara nk...
Unata kusema ukiwa mchawi utatamani kutogo tu nila huruma? Kama tunavyokandamiza bia bila kuzionea huruma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom