Kuna nyakati kuvaa condom ni kitendo kigumu sana au hakiwezekani kabisa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,488
Niende moja kwa moja kwenye mada kengefu

Najua na nataka wote tukubaliane kwamba tuvae condom kwa usalama wetu na wale tunaowajali,

lakini kuna nyakatai, katika harakati zetu ovu za ngono, kitendo cha kuvaa condom kinaweza kuwa ni kigumu sana au hakiwezekaniki.

Mifano kengefu na potofu ni kama ifuatayo:

1. Kuna ule wakati unakutana na m-baby ambaye kakamilika idara zote alafu unapata ile imagination kwamba anaweza akawa na utamu wa kimataifa (hapa wengi wanauza roho);

2. Kuna ule wakati demu anatakiwa kuliwa kimasihara na ameshaenda kibra alafu condoms hauna na hazipatikani (hapa wengi tunauza mechi);

3. Kuna ule wakati uko kwenye game alafu condom inapasuka na unakaribia kilele cha mafanikio (hapa wengi tunatembelea rim mpaka mwisho);

4. Kuna ule wakati vyombo vimekwisha kaa mahali pake alafu unaamua tu kwa makusudi kuwaamini madakitari pori kwamba mafuta (vilainishi) yanasaidia kuzuia kama siyo kupunguza maambukizi;

5. Kuna ule wakati unapiga ramli kwa kuangalia sura na mwili na kukubali matokeo yoyote yajayo;

Kwa kweli mazingira ni mengi, tuendelee kutumia akili za juu wakati za chini zikiwa kazini
 
Umeeleza ukweli mtupu.Tufumbe macho tuziombee kheri nafsi zetu.
NB;Usisahau kuishika simu yako vizuri kampuni ya uchukuzi wasipite nayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom