impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,844
- 7,904
How to Make a Telescope (with Pictures) - wikiHowTupe/Nipe somo la namna ya kutengeneza iyo Local telescope ili tufaidi uumbaji wa Mungu
How to Make a Telescope (with Pictures) - wikiHowTupe/Nipe somo la namna ya kutengeneza iyo Local telescope ili tufaidi uumbaji wa Mungu
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Venus ndo motoni wanakochomewa watenda dhambi na iyo carbondiokosidoside no vijambo vyao
Kwanza youtube ishakuwa ya kise***, heading tofaut na contentKutumia evidence za youtube kucritisize huu uzi ni ajabu kidogo aisee...
Chanzo cha hzo element ni nnNi simple sana ni kuwa kwenye core ya jua (sehemu ya ndani kabisa) kunakuwa kuna aina mbili za elements ambazo zipo kwenye mfumo gesi nazo ni helium na hydrogen sasa kinachotokea hapa ni zinaungana (nuclear fussion) kisha baada ya muunganiko huo huwa zinatoa nguvu joto kubwa mno na hii ndio huitwa plasma na huwa zinazungukana kwa spidi kubwa mno hivyo kusababisha umbo duara na hii ndiyo maana jua huonekana kama duara linalotoa mwanga mwanga huo hutokana na reaction nilizotaja hapo juu
Huwezi kufikiria nje ya dini..huo ni use***duh.MUNGU alitupa uwezo mdogo????. you must be joking..Yesu alifufua watu na kusimamisha mawimbi baharini kitu sayansi haijaweza kusimamisha vimbunga kama katrina na sunami kuharibu miji yao.ukweli ndio huo mkuu Elimuya Mungu ndio uti wa mgongo wa elimu zote uzionazo hapa duniani.usidanganyike.mzungu asingeunda ndege kama hakuwaona tai na ndege wengine wakielea angani..asingeunda nyambizi kama si kuona samaki wakiogelea baharini.vitu hivi simpo usivichukulie kimzaha mzaha
Hahaha mmmh isije ikawa kweli mkuu joto la 400c+ ni joto kali sana hapa dar joto ikifika 32c watu tunatafutana.... sasa huko venus kuwe ndo jehanam
Solar parker probe.. Mission to touch the sunhv kunachombo chochote kilishawahi kutumwa kwenye jua kuchunguza au kukaribia maana swali hili tulishawahi kujiuliza miaka ming na kukosa majibu yaani chanzo cha jua kuwa na joto kali ni nini napia tumeshazoea kuona kitu chenye joto mfano chuma ukikichoma moto kinakuwa chekundu lakini kwenye jua unatoka mwanga mweupe na si mwekundu ni mahesabu gani yametumika hadi hali ikawahiv mwenye utaalamu anisaidie
watachangia nini wakati vichwani weupe, wengine wanajua maisha ya diamond kuanzia ratiba ya kuamka mpaka kulala ila mambo mengine zero, , ukimwaga povu ujue inakuhusa.Mada za udaku ndio zinawachangiaji Wengi, mada za Elimu na kujifunza hazipitiwi kabisa.
Ukijiongeza kidogo ingependeza,hizi dini zimekuja majuzi tu na dunia ipo million years back.Sayansi ndo kila kitu hivi vitabu visiwaumize kichwa.Tatizo tunafikiri dini ni Christian na Islamic tu wakati zipo nyingi tu na maisha yanakwendaduh.MUNGU alitupa uwezo mdogo????. you must be joking..Yesu alifufua watu na kusimamisha mawimbi baharini kitu sayansi haijaweza kusimamisha vimbunga kama katrina na sunami kuharibu miji yao.ukweli ndio huo mkuu Elimuya Mungu ndio uti wa mgongo wa elimu zote uzionazo hapa duniani.usidanganyike.mzungu asingeunda ndege kama hakuwaona tai na ndege wengine wakielea angani..asingeunda nyambizi kama si kuona samaki wakiogelea baharini.vitu hivi simpo usivichukulie kimzaha mzaha
Hii mada nyingne mkuu kukaa kwenye meza ya maakuli maana yake ni kula chakula,sasa sijui unamaanisha nae anakula?dah.si ameahid watakaofuzu watamuona.kwa taarifa yako katika elimu ya uislamu hata malaika wenyewe hawajawahi kumuona.huwa wanafika mbingu ya saba na kuskia maelekezo kutoka kwakeakiwa mbingu za juu zaid ya iyo mbingu ya saba..inasemekana kuna mbingu zaid tatu juu ya zile saba zilizofunikwa kwa pazia la nuru..sasa kama Musa hakumuona na wakati ndiye Nabii aliyeongea na MUNGU live.sisi ni kina nani tudai kumuona MUNGU ???.kufa ukiwa mwema utamuona siku ya kiama.ukifa mbaya ndiyo sahau.hutaweza kukaa naye kwenye meza ya maakuli.shauri yako??