Kuna nini kwenye Sayari ya Venus?

Kuna nini kwenye Sayari ya Venus?

mkuu jaribu kufatilia haya mambo kwa kina.mfano mzuri wa vitu ambavyo tunafichwa hadi leo ni kuhusu UFOs (unidentified flying objects) Hizo ndege za aina hiyo huwa zinaundwa hapa hapa duniani hakuna cha aliens wanaokuja duniani wala kitu chochote bali wao hutumia robots ndo mara nyingi hushuka pale chombo kinapotua ili watu wasiweze kujua ni kipi kinachoendelea.kwa ushahidi zaid tafuta habari za FLYING SAUCER TESTING hii ni project ya miaka mingi iliyopita lakini mpaka leo nasa wanatuaminisha kuwa kuna aliens na viumbe katika sayari zingine huu sio ukwel
Mkuu uwwzekano wa kuwepo viumbe wengine inje ya sayari yetu ya dunia ni 100% mazingira yanathibitisha hilo
 
.hivi ndugu yangu unawezaje kuwaamini wakatoliki walichokisema na kupinga yule aliyekaa kwa muda mrefu na kuja na ugunduzi wake kuwa jua ndiyo inaloizunguka dunia???.huo ndio ukweli wenyewe kuwa jua huzunguka dunia pamoja na mwezi...kingine unachopaswa kujua ni kuwa mwezi hutoa mwanga wake wenyewe.hautegemei mwanga wa jua...hizo ni vitu hata google hawataki tujue soo ukisaka habari hizo google utaeza usizipate kwa usahihi ndio maana nashauri mtu kuingia you tube.kule huwa zinakua deleted baadae sana na habari zingine kama hizo hubakia milele kule soo try dig up for more data Broda
Siamini wakatoliki maana nawajua sana kuwa hata hii migogolo ya dunia kukosa aman chanzo ni Roman Catholic

Lakini mkuu Fanya upembuzi yakinifu bila kuegemea itikadi mwezi hutegemea mwanga wa jua ili upate mnulurisho
 
Mkuu uwwzekano wa kuwepo viumbe wengine inje ya sayari yetu ya dunia ni 100% mazingira yanathibitisha hilo
hahah.kitu hata kwenye dini hakuna usikiamini mia mia mkuu.labda kama huna imani.tunavyojua kuna majini ,malaika na binadamu tuu.MWENYEZI MUNGU asingetunyima ujuzi huu tokea enzi hizo koz kama wapo kweli tungekuja kuwaona na tungeshuku uwezo wa MUUMBAJI katika kuufahamu ulimwengu.soo usidanganywe na viumbe wa MUUMBAJI koz yeye MUNGU ndio ana ukweli woote
 
Siamini wakatoliki maana nawajua sana kuwa hata hii migogolo ya dunia kukosa aman chanzo ni Roman Catholic

Lakini mkuu Fanya upembuzi yakinifu bila kuegemea itikadi mwezi hutegemea mwanga wa jua ili upate mnulurisho
ukwel ndio huo kaka. ila mpaka kesho hutoweza kuuskia katika media za juu kama cnn ,bbc au nasa...
 
hahah.kitu hata kwenye dini hakuna usikiamini mia mia mkuu.labda kama huna imani.tunavyojua kuna majini ,malaika na binadamu tuu.MWENYEZI MUNGU asingetunyima ujuzi huu tokea enzi hizo koz kama wapo kweli tungekuja kuwaona na tungeshuku uwezo wa MUUMBAJI katika kuufahamu ulimwengu.soo usidanganywe na viumbe wa MUUMBAJI koz yeye MUNGU ndio ana ukweli woote
Mungu ametupa ufaham mdogo sana ndiyo maana hakuna hata aliyewahi kumuona.
 
Mungu ametupa ufaham mdogo sana ndiyo maana hakuna hata aliyewahi kumuona.
duh.MUNGU alitupa uwezo mdogo????. you must be joking..Yesu alifufua watu na kusimamisha mawimbi baharini kitu sayansi haijaweza kusimamisha vimbunga kama katrina na sunami kuharibu miji yao.ukweli ndio huo mkuu Elimuya Mungu ndio uti wa mgongo wa elimu zote uzionazo hapa duniani.usidanganyike.mzungu asingeunda ndege kama hakuwaona tai na ndege wengine wakielea angani..asingeunda nyambizi kama si kuona samaki wakiogelea baharini.vitu hivi simpo usivichukulie kimzaha mzaha
 
Kama dunia ni flat jua huzama na kutoea wapi?
jua siyo kubwa kama tunaambiwa na nasa.na haliko mbali kama wasemavyo.dunia ni kubwa sana kuliko jua.hivyo jua likiwa upande mwingine katika mizunguko yake huwa linakosa nguvu ya kuangaza kona zote za dunia kwa pamoja ndio maana usiku na mchana hutokea
 
Mkuu tukubaliane kuwa sisi wanadamu Mungu ametupa akili kidogo ulimwengu ni inje ya fikira ya kibinadamu hayo ni mambo madogo sana unayosema yesu alifanya ingawa ni kubwa kwa fikira za kibinadamu
 
jua siyo kubwa kama tunaambiwa na nasa.na haliko mbali kama wasemavyo.dunia ni kubwa sana kuliko jua.hivyo jua likiwa upande mwingine katika mizunguko yake huwa linakosa nguvu ya kuangaza kona zote za dunia kwa pamoja ndio maana usiku na mchana hutokea
Kwa hiyo kama ni flat jua lina tua wapi na linazungukaje kutufikia tena?
 
Lini na sisi tutaanza kuzichunguza hizi sayari?? tusitegemee kila kitu toka NASA.
 
Mungu ametupa ufaham mdogo sana ndiyo maana hakuna hata aliyewahi kumuona.
dah.si ameahid watakaofuzu watamuona.kwa taarifa yako katika elimu ya uislamu hata malaika wenyewe hawajawahi kumuona.huwa wanafika mbingu ya saba na kuskia maelekezo kutoka kwakeakiwa mbingu za juu zaid ya iyo mbingu ya saba..inasemekana kuna mbingu zaid tatu juu ya zile saba zilizofunikwa kwa pazia la nuru..sasa kama Musa hakumuona na wakati ndiye Nabii aliyeongea na MUNGU live.sisi ni kina nani tudai kumuona MUNGU ???.kufa ukiwa mwema utamuona siku ya kiama.ukifa mbaya ndiyo sahau.hutaweza kukaa naye kwenye meza ya maakuli.shauri yako??
 
tusubiri wanasayansi watukuze
Kwa kuongezea kuna sayari ya Uranus pia inazunguka jua kutoka Mashariki kwenda magharibi kila baada ya masaa 17.
Sababu hazijaainishwa vizuri na wanasayansi, inasemekana ziko hivo tangu kuundwa kwa Solar system 4.6 billions yrs ago. Japo kuna sababu amabazo hazijakuwa na nguvu sana, kama Venus inatoka mashariki kwenda Magharibi ktokana na mgogangano na vitu vingine angani.
Lakini kuna chapisho huwa linasema Venus inazunguka sawa na sayari zingine ila kwa sababu ipo tilted 177° inaoneka ina rotate tofauti na zingine.
 
Ukisoma kitabu cha HERCOLUBUS OR RED PLANET cha mwandishi V.M. RABOLU yeye anasema kwenye VENUS kuna uhai,viumbe wanaishi na wako intelligence sana.

Jamaa wanakula bata sana,hakika ukisoma hicho kitabu utatamani kuwa Venusian.

Astronauts wengi huwa machapisho yao nayachukulia 60% ndiyo ukweli,mengine ni dhahania
Venus hakuna maisha hata kidogo maana haisapot life hakuna kiumbe anayeweza kuishi kwenye sayari hiyo

Ni uongo kwamba kiumbe kinaweza kuishi sayari ya Venus si kweli

1 vimbunga vinavyosafiri zaidi ya speed 800 KPH
Hata katika sayari yetu ya Dunia vimbunga huwa chini ya speed 300 KPH Na husababosha madhara makubwa

2 joto kufikia 470c Mara nne ya joto la kuyeyusha chuma halafu ulipate live huwezi ishi hata kwa sekunde

3 asilimia kubwa ya viumbe tunatumia hewa ya oxgen na Venus nyingi hewa ni chafu sawa na kuvuta hewa ya Bomu la Atomic kuna kiumbe atakayeishi jibu no hakuna

Kwa hiyo sayari hii haisapot life hata kidogo

Sayari ya mars inasaport life maana ina mazingira yanayofanana na dunia ikiwa pamoja na maji mito mabonde na hewa ya Oxgen
 
Back
Top Bottom