marcs
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 1,066
- 573
Kwanza hakuna kitu roho pili we umesema vitu vya kisayansi vilishaongelewa vyote katika vitabu vya Dini nasema si kweli kwa sababu vitabu vya Dini vimeiongelea Dunia na vitu vyake lakini haukuziona sayari zinginesayansi hiyo hiyo mpaka leo haijaweza kujibu maswali mengi ambayo dini ishayajibu.mfano roho ni nini na inaachaje mwili anapokufa mtu...soo usidharau dini ndugu.mengi wanayovumbua siku hizi yalishaongelewa katika dini karne hizo...hata flat earth iko katika dini pia.soo usichulie hii ishu kuwa ya kiafrika no.hii ni global issue.dunia nzima wanaumiza vichwa kujuza watu vitu vingi walivyofichwa kuvijua..
Kwa mfano vitabu vinasema mungu ataiteketeza Dunia na vitu vilivyomo ndani Yake lakini haikuongelea sayari zingine
Sasa mwaka 2020 watu watahamia mars kwa nauli ya $200000 mbona vitabu vitakatifu havijaliona hilo?
Huoni unadanganya watu!! Je mungu atakapokuja kuiteketeza Dunia watakaokua mars si watasalimika au!!