Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,906
- 3,265
Umeshawahi kusikia habari za viumbe wa ajabu waliotua Russia niaka ya zamani baada ya chombo walichokuwa wakitumia kupata hitilafu? Vipi kuhusu wale wa Bermuda nchini Marekani?Mkuu hii red planet ina joto Kali sana uwezekano wa kuwapo viumbe hai 0.0001% maana hakuna chochote kiumbe cha duniani kinachoweza kustahimili hali ya hewa ya huko.
Na kama kungekuwepo uhai na ni Sayari iliyopo karibu yetu basi ni dhahiri tungeshapata kufahamu ukweli na kama viumbe hao wameendelea kiteknoroji tungeshawaona ktk anga yetu ambayo tupo karibu sana
Nakiuliza hawa allies asili yao wapi?
Katika post yangu ya mwanzo mwisho nimemalizia kwa kusema.....Maelezo ya Astronauts wengi,huwa naamini 60% tu.