ok.Naona walipaji woté wako kimya! Kulikoni? Hazina imaishiwa? Fedha mmezipeleka wapi?
Bankruptcy!

Kuna kupunjwa punjwaTushalipwaa .... Ambaye hajalipwa anyooshe kidoleee
Akina "Who are You" wameleta shida? 😂Changamoto Imeanzia Kwa Hawa
US
European Union
Commonwealth
Barua Zao Kali Sana Hazijatekelezwa
Halafu Hao Ndiyo Watoaji Cash Ndefu Sana