Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

wandugu jf inasomwa na wengi jamani lugha itumike kiswahili na japo kingereza kwa mbali,sas mukianza kuandika kichina,kifaransa na kijaluo sisi wapare hatuelewi

Anataka tujue kwamba yeye ni mkali wa kifaransa
 
hivi ile benk iliyoanzishwa ikulu iliyokuwa ikitwa ANABEN (ANNA NA BENJAMINI) iko wapi siku hizi? kwa mwenye taarifa tafadhali.
 
Tangu 1961 bei hazikutakiwa kupanda? hata Uk na USA bei huwa zinaongezeka. Ningekuona makini kama ungekuja na data hapa, hizo bei ulizotaja ukalinganisha na nchi jirani za EAC lakini hali ni tofauti bei za mafuta, sukari, mchele, ngano, sabuni na hata mkaa mikoa yote ya mpakani kama pale hivyo vitu wakenya wanakuja kununua Tanzania shauri wa unafuu wa bei.

Angalia unafuu wa bei za bidhaa Tanzania
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
BIDHAA
[/TD]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
KENYA
[/TD]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
TANZANIA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
Mafuta ya kula 10Ltrs
[/TD]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
1600 Kshs (30,400Tshs)
[/TD]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
27,000 Tshs.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
Sabuni ya unga 3.5kg
[/TD]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
1000 Kshs (19,000)
[/TD]
[TD="width: 197, bgcolor: transparent"]
12,000 Tshs.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Bei zilivyo hivi sasa pale mpakani Namanga upande wa Kenya na Tanzania. Bidhaa za Tanzania ni bei nafuu sana hata soda, bia na chakula hotelini na bidhaa za sokoni na aina zote za vyakula wakenya wanavuka kuja upande wa Tanzania kununua.
 
Thanks mkuu. kuna mengi nilikuwa siyajui.

Ni kweli hata mwendawazimu hawezi kuwalinganisha huyo na huyu
- Aliyejenga mabarabara mara mbili ya idadi ya kilomita alizozikuta
- Aliyejenga madaraja makubwa sana 3 kati ya 5 aliyoyaahidi Nyerere
- Aliyeleta vyuo vikuu zaidi ya 44 ? mara 4 zaidi ya waliowakuta
- Aliyezesha wanafunzi 160,000 wa vyuo vikuu mara 4 zaidi ya aliowakuta
- Aliyejenga chuo kikubwa kuliko vyote EAC.
- Aliyejenga chuo kikubwa cha sayari kwenye ukanda huu cha Nelson Mandera
- Aliyepeleka sekondari hadi kwenye kata
- Aliyezalisha umeme wa mega wait 1500 mara mbili zaidi ya alioukuta
- Aliyeanzisha umradi wa kupeleka umeme vijijini?
- Aliyewaunganishia umeme toka 12% alipochukua madaraka mpaka 21%
- Anayejenga bomba la gesi kubwa toka Mtwara hadi DAR
- Anayejenga barabara ya mabasi yaendayo haraka.
- Anayekubalika na viongozi wote wakubwa wa Dunia hii
- Aliyeanzisha hospital ya tiba ya moyo nchini
- Aliyeanzisha hospital ya kisasa ya kinywa
- Aliyesogeza huduma za afya karibu na wananchi
- Aliyejenga miundombinu ya afya
- Aliyeboresha huduma ya maji nchini
- Aliyeongeza ajira nchini

 
Wana-JF ni watu wa ajabu na karibuni tutaitwa watu wa hovyo hovyo!! Hivi kuna mangapi ya serikali na ya chama chake ambayo Mkapa anahudhuria? Kwahiyo kutohudhiria kwenye ufunguzi wa bunge huku wote mkiwa hamfahamu ni kwanini Mkapa hajahudhuria, ndo basi tena Mkapa ni bonge la genius, GT, hapendi ujinga n.k, n.k! Kesho akisema Vicent Nyerere sio mtoto wa Mwalimu Nyerere mtarudi tena hapa na kuanza kumporomeshea matusi!
 
Ben kikwapa vs Jakaya Kiwete!!!!

Ben anajua kikwete hamnaga,kwanini apoteze muda!
 
Aliyepandisha
sukari kutoka 400 hadi 2000
unga 200 hadi 1500
mchele 400 hadi 2000
mafuta ya kula lita 600 hadi 3000
nauli daladala 150 hadi 400
kodi chumba 10,000 hadi 60,000
umeme kwa mwez 2,000 hadi 20,000.
sabuni mche 500 hadi 2500
mkaa gunia 3,000 hadi 35,000
Maji Dar dumu 20 hadi 500
Nyama kilo 800 hadi 7,000

Ngoja niishie hapo tuache vitu vikubwa saaana hivi vidogo ndo vinagusa sana maisha ya watu wa aina zote; wasomi, wasiosoma, maskini na tajiri

Deni la taifa toka 6 trilioni tangu uhuru hadi 2005 kufikia 23 trilioni sasa katika kipindi cha miaka 9 tu!!!
Kutoka kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria hadi kushughulikiwa kwa mujibu wa fitna!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Deni la taifa toka 6 trilioni tangu uhuru hadi 2005 kufikia 23 trilioni sasa katika kipindi cha miaka 9 tu!!!
Kutoka kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria hadi kushughulikiwa kwa mujibu wa fitna!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

deni la taifa hata likifikia trilioni 1000000000 linakuathiri vipi wewe kilaza?
 
hebu wewe mwerevu tueleze deni la taifa linakuathiri vipi

kama kweli wewe ndiye unaekuja hapa jukwaani kuinadi ACT na haujui baba ako akidaiwa wewe unaathirika vipi basi kazi ipo.
 
Tangu 1961 bei hazikutakiwa kupanda? hata Uk na USA bei huwa zinaongezeka. Ningekuona makini kama ungekuja na data hapa, hizo bei ulizotaja ukalinganisha na nchi jirani za EAC lakini hali ni tofauti bei za mafuta, sukari, mchele, ngano, sabuni na hata mkaa mikoa yote ya mpakani kama pale hivyo vitu wakenya wanakuja kununua Tanzania shauri wa unafuu wa bei.



Wakenya wananunua tanzania? bwahahahahahahah. nini hicho watanzania mnauza kenya? Labda papuchi kwenye beach za malindi na mombasa
 
Back
Top Bottom