basi inaonesha kuwa hana aibu halafu kuna kila dalili ya kuwa yeye ni KIHIYO, yaani nina wasiwasi sana na uongozi wake.Ndio maana anavaa suspenders na mkanda wa suruali at the same time
Ndio maana anavaa suspenders na mkanda wa suruali at the same time
Kama alifanya hili asilokuwa na uhakika nalo, nina wasiwasi nahili nalo hajui ila anafanya fanya tu ilimradi aonekane yupo,Nilipomwambia kuwa hatuvaagi mkanda na suspenders akavua mkanda....ni boreer kishenzi huyu jamaa
Kwani huyu mtu atangoka lini hapo TFF?maana anatupotezea muddy kabisa:bowl:!
Na FIFA nayo eti inataka aina hii ya "Vimeo"ndiyo iongoze soka,mkitimua Vimeo kama hivi mnafungiwa!!!Sasa inakuwaje mtu anafanya yasiyo ya kisoka kabisa, nauliza tena hana aibu maana leo hata wasiojua soka wamehoji adhabu ya aina hii
Anatuharibia
Ile picha hakuna uthibitisho kwamba ni ya kweli huenda ikawa imetengenezwa,KASEJA alikuwa wapi siku zote kupeleleka hiyo picha kama kielelezo?