Kuna nchi zipo vizuri ila huwa hawapigi kelele sana kama Majirani zetu

Unajua neno train inamaana gani ama lazima nitafsiri kwa lugha ya kiswahili? Mbona unanionyesha electric poles? Nabakia na kauli yangu kuwa Dar haina electric train
Najua ni kiasi gani unaumia ila vumilia tu na nyie mtajenga miaka 50 ijayo
 
Hii barabara ya ubongo haijawahi kukamilika?
Hii ikifanyika kwamba magari yatapita juu kesho basi uje uposti video hapa.
tapatalk_1590845928439.jpeg
tapatalk_1590845905190.jpeg
tapatalk_1590845901822.jpeg
 
Wewe huwezi kunifunza jambo lolote kuhusu mambo ya uchumi. Eti sasa unanifunza tofauti kati ya Gdp na Gdp per capita, jambo ambalo tunasoma tukiwa first year kwa course la macroeconomics. Tuliza nyege dogo, hujui mengi duniani.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Badala ya kujibu hoja iliyokushinda ya ipi (kati ya GDP na GDP per capita) ni sahihi zaidi kutumika kwenye kulinganisha uchumi wa maeneo mawili umekurupuka na matusi. Anyway, hunishangazi, kutukana ni tabia ya Wakenya. Hadi hapo umejijibu mwenyewe kuwa ulienda kusoma shuleni na hukuelimika. Nampa pole mtu na akili zake katupa ada kwa ajili yako.
 
Amekosa hoja, Nyangau huyo.
 
Tukohoe juu ya Ldc Nonsense over our dead bodies.Kenya izo bara bara zimejaa vijijini hadi tumezichoka.Kwa vile nyie ni Ldc it's a big deal.Sorry but u still behind Kenya no matter what
Behind kwa kenya kwny nn hebu jaribu kuwa specific, mana me naona daily cc ndo tunawasaidia Kenya.
 
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Badala ya kujibu hoja iliyokushinda ya ipi (kati ya GDP na GDP per capita) ni sahihi zaidi kutumika kwenye kulinganisha uchumi wa maeneo mawili umekurupuka na matusi. Anyway, hunishangazi, kutukana ni tabia ya Wakenya. Hadi hapo umejijibu mwenyewe kuwa ulienda kusoma shuleni na hukuelimika. Nampa pole mtu na akili zake katupa ada kwa ajili yako.
Wewe hunijui shida yako ni gani? Nani hajui Gdp per capita ndio njia bora zaidi kushinda Gdp kwa kupima level of economic development and human development. Ila hata hio Gdp per capita unayoringa nayo sana pia ina mapungufu yake ikiwemo kutoweza kutake into account the poor people in society. Kwa mfano USA ina Gdp per capita kubwa sana, zaidi ya $40,000 ila ukitegemea kujua level ya unasikini na kujua watu wangapi ni masikini USA basi Gdp per capita haitakueleza hayo. Utajidanganya kuwa USA kila mtu anapata kipato cha zaidi ya $40,000 au $50,000 basi utashangaa kujua kuwa kuna watu masikini wakutupwa huko. Gdp per capita ni average cha mapato cha kila mtu katika nchi fulani. Ukitaka kujua kuhusu standard of living basi utatumia kigezo cha "human development index" yaani HDI. Ukitaka kujua level of income inequality basi utatumia kigezo cha Gini coefficient. US ina Gini coefficient kubwa kumaanisha watu wachache wanamiliki mali mengi na watu wengi katika nchi hiyo wanamiliki mali kidogo. Kwa hivyo usije hapa kuringa na Gdp per capita uliojifunza jana kwa sababu hio ina mapungufu yake na wachumi waliobobea wanatumia vigezo vingine kujua hali halisi katika uchumi fulani. Rudi tena useme mimi sio mchumi. Shenzi type.
 
even before completion, we r ahead of as far as modern rail infrastructure is concerned mind u ur SGR trains r no different to our MGR roling stocks!
Wacha kuota. Your rolling stocks are cape gauge or metre gauge or whatever the gauge. Our rolling stock is standard gauge. Pengine hata huelewi standard gauge ni kipimo kiasi gani. Niulize mimi kama hujui nikuambie.
 
Back
Top Bottom