sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,134
- 4,252
Wakati mzuri ni sasa, lakini ngoja ngoja atakuja mtawala mwingine asiyetaka mabadiliko ya katiba.Maza namkubali sana ila bado kuna umuhimu mkubwa sana wa KATIBA MPYA

Unajua huu upuuzi wenu mtamfanya mama yenu kura za kanda ya ziwa hazikose sijui wachaga mtaweza kumuingiza madarakani kwa kura za kaskazini ambazo zote zimeshindwa kumpa hata ubunge Mbowe.
Umesahau kuwa katika siasa za hapa JF kuna usimba na uyanga. Okwi akiwa simba, yanga wanamuona ni ghalasa. Ila akienda Yanga simba wanasema ‘huyo kaisha’. Akirudi Simba wanasema wamepata kifaa.Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo.
Haya hivi sasa tuna Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye taratibu anaanza ' Kujjtanua ' kwa Kushirikiana na Mataifa Jirani na Makubwa hadi Kuwavutia Wawekezaji wakubwa ili aweze kurudisha Mzunguko wa Pesa nchini, Miradi mingi itakayochochea upatikanaji wa Fursa za Ajira ili akina GENTAMYCINE tuondokane na Umasikini ( Unyonge ) wa Kipesa tulionao tumeanza tena ' Kumzodoa ' na ' Kumzoza ' Mama wa Watu kuwa sijui anauza nchi na anaipeleka nchi kubaya.
Hivi Watanzania tunataka nini? Tunajitambua kweli? Hizi Nongwa na huu Unafiki wetu ' uliotutukuka ' zina Faida gani? Ni kwanini tunakuwa ni Watu tu wenye Majungu, Visununu, tusiokuwa na Uvumilivu wala Shukrani? Tumelorogwa na nani ili tuwaombe Viongozi wa Kidini watuombee au tufunge tumlilie Mwenyezi Mungu?
Mama wa Watu masikini ( Rais Samia Suluhu Hassan ) hana hata Siku 100 tu Ofisini tayari kuna Mifalme Njozi ' Mipopoma ' inajifanya imeshajua kule ambako anatupeleka wakidai kuwa anatupoteza na kwamba hawezi Kuongoza kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake Hayati Rais Dkt. Magufuli.
Leo hii baadhi yetu tunamsema kwanini Mama ( Rais Samia Suluhu ) ana ukaribu mno na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kwamba ndiyo anamuongoza Kiuongozi kitu ambacho hata hivyo Mimi GENTAMYCINE sioni tatizo lolote lile juu ya hilo.
Mbona wakati Hayati Rais Dkt. Magufuli alivyokuwa Madarakani alikuwa na ukaribu sana na Rais Mstaafu Hayati Benjamin Mkapa na ndiyo alikuwa akimuongoza na tulikuwa hatusemi?
Kama Great Thinkers, Academicians na Think Tanks wa Tanzania tunaacha Kumsaidia Mama ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) kwa Ushauri na Mawazo ' very Constructive ' ya kuitoa Tanzania yetu hapa ilipo na ikimbizane na Mataifa mengine Kutwa tu tunakalia Majungu, Umbea, Wivu na Unafiki.
Kwako Mheshimiwa Rais wangu ( wetu ) Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali nakuomba Ongoza nchi kwa ' Style ' yako na kamwe usitusikilize Sisi ' Wanafiki Wakomavu ' wa Kitanzania tusio na hata chembe ya Uvumilivu na Shukrani ndani ya Mioyo yetu na Roho zetu pia.
Kitabu cha Rais Hayati Dkt. Magufuli kimeshafungwa na sasa ni wakati wa Kuandika Kitabu chako na Wewe ukiingia tu katika Mtego wa Kusikiliza ' Majungu ' yetu Sisi ' Waswahili ' utapoteza Dira yako na ndiyo utakosea na Kuongoza nchi vibaya kisha utakuwa umeshawapa ' Waswahili Wanafiki ' cha Kusema na ' Nongwa ' zao ( zetu ) kuzidi.
Chapa Kazi Mama yetu ( Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ) TUNAKUPENDA na tutakuombea MAFANIKIO kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) na Binafsi kama GENTAMYCINE wala sina Shaka nawe kwani najua unaweza, una uzoefu na una bahati na kupata Washauri wazuri ambao Ndoto zao ni Kuona Watanzania wanafurahi Kiuchumi, Kiustawi na Kimaendeleo pia.
Dozi hii 'Mujarab' iwaingieni vizuri mno.
According to u. Juzi nilikutana na kichaa akiwa anamwambia mpita njia(USIPITE HAPO WE KICHAA!) 😂😂😂 ndo hapoo nikaelewa na saiz nimekuelewa vzr tuu maana nilishapata funzo zuri tuu😂😂Hayati Hana zuri lolote zaidi ya ushetani wake na udikteta ,,wanaomuunga mkono Hayati wengi ni mazuzu wasiojitambua na wasukuma wenzie
Jibu hoja siyo kutoa povuu😂😂. Nendeni zambia mnakosema biashara zinaenda, totaly colonized na wachina😂😂. Ila sikushangai maana nilisikia kundi flan hv wakisema kuliko kuzaliwa tanzania bora kuwa mbwa ulaya🧐🧐Absolutely Rubbish..!!!
mazezeta Kama wewe ndio bado mnaota kuwa Kuna siku mungu wenu wa chatto atarudiAccording to u. Juzi nilikutana na kichaa akiwa anamwambia mpita njia(USIPITE HAPO WE KICHAA!) 😂😂😂 ndo hapoo nikaelewa na saiz nimekuelewa vzr tuu maana nilishapata funzo zuri tuu😂😂
hii mipopona ni ile iliyokuwa inakula njama kutaka kutenda kosa la kumwongezea mwendazake muda wa kutawala kwa kutaka kubadilisha katiba ya nchi.tayari kuna Mifalme Njozi ' Mipopoma ' inajifanya imeshajua kule ambako anatupeleka wakidai kuwa anatupoteza na kwamba hawezi Kuongoza kama ilivyokuwa kwa Mtangulizi wake Hayati Rais Dkt. Magufuli.
Mimba n miez tisa. Hadi iishe utapata taabu sana na kisiran chako😂😂. Jiwe amewaachia mimba wengi saana had mnalala mnamuota yeye tuumazezeta Kama wewe ndio bado mnaota kuwa Kuna siku mungu wenu wa chatto atarudi
Nani ka kwambia chadema wanapata mhaho na mama ni mijiccm ikiwemo na wewe mkuu wengi wanaolalamikia mama kua karibu na mkwere ni nyienyie hao sio hata chademaMwenzako katumia muda wake ili aje na analysis ya maana wewe unaibuka na matope.
Nani asiyejua CHADEMA mnatafuta pa kushika mmepoteana,maana makelele yenu yalikuwa udikteta wa Mwendazake,sasa alikwenda na udikteta wake.
Sasa amekuja mama mpole kama hua mnahaha namna ya kumfitinisha na wapiga kura wake,maana hamna ajenda tena ya ufisadi nayo iliwashinda.
siyo lazima mfanye siasa hata kama imewashinda.
Mkuu, "PAKA" anafanya lini ziara TZ???Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo.