Kuna mtu kashameza ndoano

Kuna mtu kashameza ndoano

Kwanini msi deal na mzizi , mna deal na ua ...
 
Kuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni

Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya

Hatuwezi kuendelea na utekaji tena

Big no!!
Ila kauli zenu hizi siyo nzuri. Kwanini msikae tu kimya
 
Ila naona ni ujinga kwa maskin kusubiria KIFO Cha tajiri ..
Huyo anapokea maelekezo tu hata kama Dua zenu zikitiki Bado mzizi utakua Bado upo..siku mzizi ukitoka.ndio nchi itakua salama..kwa kias fulan...
 
Kuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni

Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya

Hatuwezi kuendelea na utekaji tena

Big no!!
Nani kameza ndoano?

Kameza ndoano ya aina ipi?

Kameza lini hiyo ndoano?

Au yeye ndie anamezesha watu ndoano?
 
Ndugu watanzania kuombeana vifo sio suluhisho mfumo ndio huongoza watu pambanieni mfumo ili viongozi waongozwe na mfumo uliomzuri sio huo wa sasa unaompa madaraka makubwa rais hata wafe wote waliopo atakaeingia nae atakuwa kama waliopita maana mfumo ni uleule

Tumieni akili
 
Tumeshawachoka na hii mikeka yenu ambayo kila siku inachanika.
 
Ila huyu mzee Hadi udenda unamtoka😄😄 sidhani kama atamuacha SAMIA Salma huko tuendako
Screenshot_20250809-210036.png
 
Siasa za Tanzania bhana YANI kama majinga some time, ETI SAIV ukiongea kwa Kodi kidogo TU hata kama unazungumzia mambo ya kifamilia wanasiasa wanakuja mkuku ETI tumeelewa yule hadumu mara mzee WA msoga khaaa nani ALIE wambia KILA Kodi ni siasa ujanja ukizidi SANA ni ujinga...


Kwishaaaaaaa
 
Back
Top Bottom