AhsantePole sana
Duuhh mzigo hiiKupuliza gesi na ikaweza kujaa sio mchezo alisikika nabii wa Taifa gesiView attachment 3436928
Hiyo 'big no' hapo mwishoni umejibishia mwenyewe ulichokisema hapo juu au ni mwendelezo wa ulichokisema hapo juu?!!Kuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni
Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya
Big no!!
Yaani hii mijitu ni mipumbavu kweli kweli.Mtazeeeka vibayaaa 😃😃
Mmekua kma wehu kila cku makauli ya vitisho na dua za kichoko choko
.maisha ni mazuri mnoo ukiwa winning team haina haja ya kua mwana harakat kwenye nchi ya Tz
Pelekeni upuuzi wenu uko uko
Hawana ajenda kazi kuombea watu wafe kama wao wataishi mileleMtazeeeka vibayaaa 😃😃
Mmekua kma wehu kila cku makauli ya vitisho na dua za kichoko choko
.maisha ni mazuri mnoo ukiwa winning team haina haja ya kua mwana harakat kwenye nchi ya Tz
Pelekeni upuuzi wenu uko uko
Weee, shangazi yangu ni jembe hawezi kutolewa na mume kiboyaboya hivi........yaani munewe muda wote awe anahangaika na huu upuuzi wa kumchulia Samia tu?!!! Angemtimulia mbali maana anajua hakuna mwanaume wa hivyo.....labda isiwe rizikiJf iendee taratibu, unayemwita Dada aweza kuwa Mume wa shangazi yako
Ssh ni mpyaKuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni
Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya
Hatuwezi kuendelea na utekaji tena
Big no!!
Naungana na weweKuna mtu kashameza ndoano lakini bado anaivuta itoke kooni
Nasisitiza rais ajaye 2025-2030 ni mpya
Hatuwezi kuendelea na utekaji tena
Big no!!
Hio inashukaaa vizur sambamba na magoli mawil ya nzize 😃
Yaani Hawa kila cku kazi yao kutia doa serikal na kuombea mabaya tuh.utazani sio watanzania roho mbaya tuhHawana ajenda kazi kuombea watu wafe kama wao wataishi milele
Una maisha mazuri
Nyie watu mna roho nyepesi Sana... Mwenyekiti wenu iliposemwa kavunja Katiba mlirusha kila aina ya maneno.Yaani hii mijitu ni mipumbavu kweli kweli.