Duuh! Nina akaunt nilifungua 2009, ngoja niifatilie.Hata kama una follws kumi kama ni ile ya zamani wana nunua wao wanaenda kuikuza kwa miezi kadha wanauza na wao.
Mpe namba udakwe wakubinye mbupu
sio twtr tu hadi insta, tick tockDuuh! Nina akaunt nilifungua 2009, ngoja niifatilie.
Annhaa . Ngoja nimu uuzie na password ya temporary akizingua nachomoa waya thanks alotHata kama una follws kumi kama ni ile ya zamani wana nunua wao wanaenda kuikuza kwa miezi kadha wanauza na wao.
Yani unamaanisha nini mkuu??? Naomba nieleweshe nduguMpe namba udakwe wakubinye mbupu
UtapigwaWhatsApp conversation [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2127341
mkuu usijaribu kumpa direct sekund acc hutaipata mid men lazima awepo maana atatuma pesa kwanza na wewe unatoa paswrd akizengua pesa hapewi unalipwa weweAnnhaa . Ngoja nimu uuzie na password ya temporary akizingua nachomoa waya thanks alot
Hii ndio dawa tu[emoji2]WhatsApp conversation [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2127341
Nina account ya twitter nilifungua way back in 2011, nawezaje kuiuza?mkuu usijaribu kumpa direct sekund acc hutaipata mid men lazima awepo maana atatuma pesa kwanza na wewe unatoa paswrd akizengua pesa hapewi unalipwa wewe
WhatsApp conversation [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2127341
Hizo accounts za zamani zina nini?Probably unaweza kuuza huenda account yako niya muda wanaitaka.
Ila usitoe taarifa muhimu za account mpaka watoe mpunga kwanza harafu ukifanikiwa kuwauzia wakitoa hela badili password ya Mwanzo weka mpya ndio uwauzie ikibidi badili na email kabla hujawapa access ya account endapo wakifikia malipo.
Msaada hivi ha
Mzigo mezani kwanza, matapeli n wengi kuliko waminifu
wa jamaa ni wakweli au wanataka
hii ni uhakika. Ninge andika thread sema uvivu.Hizo accounts za zamani zina nini?
Nina yangu ya 2008 japo sioni kama ntakuwa na wazo la kuiuza..
Ni kutafuta tu uaminifu kwa watu endapo wakiona account husika niya muda.Hizo accounts za zamani zina nini?
Nina yangu ya 2008 japo sioni kama ntakuwa na wazo la kuiuza..