davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 704
- 755
- Thread starter
- #41
Shuka nondo hizo mjombahii ni uhakika. Ninge andika thread sema uvivu.
Shuka nondo hizo mjombahii ni uhakika. Ninge andika thread sema uvivu.
Shuka nondo hizo mjomba
Bado na kusanya data na maoni mbali mbali sema nini, kuna mwengine kaja kwa stail mpya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oya ushauza.
[emoji116][emoji116][emoji116]Hapa nahisi nikiji changanya kubonyeza hiyo Link , nimeula wa chuya...
Guys najiribu kushare hapa ili tuelimishane.. mitego kama hii nahisi sio ya kuingia kichwa kichwa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2128420
Hamnaaa biashara hapoBado na kusanya data na maoni mbali mbali sema nini, kuna mwengine kaja kwa stail mpya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2128376
Mambo meeeengi konakona kibao sema huyu ni mwengineHamnaaa biashara hapo
Ni matapeli hao usithubutu kumpa details zako kwa kisingizio cha kukuambia anataka ampe boss aone kama kweli account ni yako.Conversation Twitter inbox iyoView attachment 2127334
Thanks Mr.[emoji120]Ni matapeli hao usithubutu kumpa details zako kwa kisingizio cha kukuambia anataka ampe boss aone kama kweli account ni yako.
Thread kuhusu nini?hii ni uhakika. Ninge andika thread sema uvivu.