MuongoView attachment 3465825
Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao. Kwanini hawawahi kuunga mkono mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ? Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao? Kwanini Kikwete anataka mwana Lindi mkubwa lazima awe mke wake ambaye ni kilaza!!
Mwamba alichemka snRais ni mzima na anachapa kazi
kazidiwa na wanamitandao?
Rais ni mzima na anachapa kazi
Qumamayoninachojua ni muslim, na hao jamaa never trust em ...
Tangu siku ile niacha kumfuatilia Kasimu Majaliwa na kuanza kufuatilia Kasimu Mganga.Rais ni mzima na anachapa kazi
Mbaya zaidi alisema uongo huo akiwa Msikitini.Mwamba alichemka sn
Kama ukweliUnafiki tu umemjaa, anasubiri siku Samia akitoka madarakani ndio ajifanye anakosoa utawala wake na kueleza "madudu".
Wanasiasa wapo Kenya tu, huku kwetu wamejaa wanafiki tu