Mambo hayo uliyoyasema yapo kwenye party coccus! Yani msimamo wa Chama Kwa maslahi ya chama na Mwenyekiti. Asitokee mtu yeyote ndani ya chama akahoji, akapinga au akaonesha huruma! Akiifanya hivyo huyo sio mwenzetu kwenye chama ni msaliti!View attachment 3465825
Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao.
Kwanini hajawahi kuunga mkono kukemea mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ?
Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao?
If you can't fight them join themView attachment 3465825
Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao.
Kwanini hajawahi kuunga mkono kukemea mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ?
Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao?
Ni miongoni mwa watu ambao wameathiriwa sana na kifo Cha magufuli Yani unawaona hawako sawa hata kisaikolojiaHuyu mzee tangu tarehe 17/03/2021 hayupo sawa kichwani
Ni tapeli fulaniMbaya zaidi alisema uongo huo akiwa Msikitini.