Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Me niko tofauti kidogo hata nikitazama desturi za sasa tulizonazo ambazo tunasema za kimagharibi sioni kama ni nzuri, kwa upande wao pia tunaonekana ni washamba.
 
There is nothing funny about that, that's clearly sexual harassment
Hii ilikuwa inafanyika sehemu nyingi za vijijini zamani. Nashangaa hawa mpaka sasa wanendeleza huu ujinga. Hata Klimanjaro hususani uchagani ilikuwepo. Kijana akimpenda msichana, anaweza kufanya party ya usiku nyumbani kwake na kualika rafiki zake na wasichana wengi. Anakuwa ameongea eg na dada zake, na kuwaambia wahakikishe yule msichana aliyelengwa anakuja kwenye party. Party inapoanza baada ya kukolea msichana mlengwa anapigwa ambush na kuvutiwa chumbani. Na huo ndiyo unakuwa mwisho wa party, kila mtu anatawanyika ili jamaa amkaze msichana. Sasa kulikuwa na kitu kama imani kuwa msichana hatakiwi kuwa ''laini-laini'' na kukubali kuingiliwa kirahisi. Hapo ndipo ''vita'' ya mieleka ilipokuwa inaanza. Ifahamike kuwa pembeni ya nyumba wanakuwa wamekaa marafiki wa kijana kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Basi ndani inakuwa ni patashika kati ya kijana na msichana. Kukuru kakara, msichana akizidiwa jamaa akiingiza mkuyenge msichana anapiga kelele ''uwiii''. Walioko nje wanajua tayari kimeumana. Yaani ni kama sinema ila ilikuwa inatokea mara nyingi tu. Kuna wengine walikuwa wanashindwa kumvua nguo bibi (wanazidiwa nguvu) mpaka wanaingia marafiki kusaidia.
 
Mkuu mimi ni ngosha na nimekulia usukumani sijawahi ona wasukuma wamevaa kimasai
Sukuma ni dubwana kubwa sana. Linaamabaa toka kando ya Ziwa Viktoria hadi mlangoni kwa kina Mwigulu, na huku kote kuna tamaduni tofauti tofauti.

Wasukuma wa Mwanza, Geita na Shinyanga wanaweza wasiwe na experience na chagulaga mayu na manguo meusi meusi yanayovaliwa mithiri ya mmasai lakini ukija Mbarali, Mpanda na Kaskazini mashariki mwa Msumbiji unakutana na hawa ngosha ze don ugali mkubwa, chagulaga mayu ni kama kawa.
 
Haishangazi Wakoloni walikuja Africa wachache sana lakini wakatutawala mamilioni ya watu kirahisi sana.
 
Sukuma ni dubwana kubwa sana. Linaamabaa toka kando ya Ziwa Viktoria hadi mlangoni kwa kina Mwigulu, na huku kote kuna tamaduni tofauti tofauti.

Wasukuma wa Mwanza, Geita na Shinyanga wanaweza wasiwe na experience na chagulaga mayu na manguo meusi meusi yanayovaliwa mithiri ya mmasai lakini ukija Mbarali, Mpanda na Kaskazini mashariki mwa Msumbiji unakutana na hawa ngosha ze don ugali mkubwa, chagulaga mayu ni kama kawa.
Ni bora tu tuwatawanye Wazanzibar kote Tanganyika watuambukize Ustaarabu, mambo ya chagulaga, kunya vichakani na kula ugali mkubwa na maziwa ndio yaishe.
 
Hiyo ni chagula system,ni Mfumo ambao Binti anachagua mwanamume kati ya wengi ili aolewe naye,ni Mfumo halali kwa tamaduni za kisukuma

Ok , Mimi nauna kama Mfumo wa kishamba lakini ni Moja ya tamaduni za kisukuma,serikali imekuwa ikiupinga kwakuwa unaviashiria vya ubakaji
Hebu tuelezee vizuri, msichana ndie anayechagua sasa kwenye ubakaji tunafikaje? Au ubakaji unaoongelewa ni huo unaoonekana hapo?
 
Inaitwa Chagulaga

Ni mfumo wa vijana wa Kiume wa kabila la Kisukuma kupata mchumba kabla ya kumlipia mahari na kumwoa rasmi

Kinachofanyika ni mabinti waliovunja ungo kupita kwenye kundi la vijana waliofikia Rika la kuoa kisha vijana hao kuanza kuimbisha mmoja mmoja

Atakayekubaliwa ndiye atakayeruhusiwa kuendelea na hatua ya kutoa mahari ambayo kwa utamaduni wao huwa ni ng'ombe
--------++++----++-------
Nimewahi kupita mikoa ya wafugaji wa Jamii hiyo na kuona hayo

Huenda nisiwe sahihi sana
Wangekuwa wanaimbisha mmoja mmoja kusingekuwa na tatizo ila sio hivyo wanavyomvutavuta mtoto wa watu hadi analia
 
Mpanda mpka sumbawanga. pia chunya wanavaa hvyo ukienda pia kamsamba utawaona wengi sana mkuu
Uko sahihi Mkuu kuna kipindi nilienda huko haswa Bonde la Ziwa Rukwa wengi niliowaona walivalia hivo.

Na hii ilimpa shida sana mtu ambae anaishi Mkoa wa Mwanza na amezunguka maeneo mengi ya Wasukuma akadai wale sio wasukuma.
 
Back
Top Bottom