Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Utauaje na umesema huoni tatizo, yaani anachofanyiwa huyo binti hapo angekuwa mwanao wewe kama baba unakibariki kwa moyo mweupe kabisa
Sibarikiwi ndio matatizo ya kuzaa na vilazaa kwa nyie wadada fanyeni kujitambua ,hamtazaa wanaume au wanawake vilaza kamwe
 
Idadi ya bracelet ndio inazungumza kuhusu kiwango cha utajiri?
Hayo mapambo kuyapata ni lazima uwe na hela(ng'ombe)

Kwahiyo ni obviously hiyo familia ambayo itamtaka huyo mchumba, itakuwa inajiweza pia
 
Back
Top Bottom