Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Sukuma ni dubwana kubwa sana. Linaamabaa toka kando ya Ziwa Viktoria hadi mlangoni kwa kina Mwigulu, na huku kote kuna tamaduni tofauti tofauti.

Wasukuma wa Mwanza, Geita na Shinyanga wanaweza wasiwe na experience na chagulaga mayu na manguo meusi meusi yanayovaliwa mithiri ya mmasai lakini ukija Mbarali, Mpanda na Kaskazini mashariki mwa Msumbiji unakutana na hawa ngosha ze don ugali mkubwa, chagulaga mayu ni kama kawa.
Ugali kubwa ndo kazi zeetu bwana. Weka na mtindi pembeni hunitoii
 
Ni bora tu tuwatawanye Wazanzibar kote Tanganyika watuambukize Ustaarabu, mambo ya chagulaga, kunya vichakani na kula ugali mkubwa na maziwa ndio yaishe.
🤣🤣🤣 Mkuu usifananishe ugali maziwa na vitu vya ajabu aisee kwa hapo sihitaji mabadiliko hata aje Yesu mwenyewe
 
Uko sahihi Mkuu kuna kipindi nilienda huko haswa Bonde la Ziwa Rukwa wengi niliowaona walivalia hivo.

Na hii ilimpa shida sana mtu ambae anaishi Mkoa wa Mwanza na amezunguka maeneo mengi ya Wasukuma akadai wale sio wasukuma.
Mimi mwenyewe mara ya kwanza nawaona wasukuma waliovaa mashuka nilijua ni wamasai
 
Mungu anawaona
Yaani wasukuma bhana, utadhani madume ya mbwa 🤣
Hawa jamaa katika jamii yao ni wachache sana wako civilised na tatizo kubwa ni elimu. Wao wanajua wakishazaa watoto wakike ni kusubiri mahali za ng'ombe na wa kiume kuishia machungoni na shambani mpaka watakapofikisha umri wa kuoa.
 
Hebu tuelezee vizuri, msichana ndie anayechagua sasa kwenye ubakaji tunafikaje? Au ubakaji unaoongelewa ni huo unaoonekana hapo?
Hapo si umemuona wamemzonga,na hapo wametumia busara,zamani Binti alikuwa anakimbizwa,atakayempata anamkula na kumuona Moja kwa moja.huu ni ubakaji kwa kuwa hakuna hiyari ya Binti

By the way sio wasukuma wote,haya mambo yalkuwa maarufu shinyanga,na sasa yamebaki kwa wasukuma walio maeneo ya mbali ambao ni kama mpanda ,Lindi nk.
 
Daah yaani hapo ndio wamestaarabika. Hali ilikuwa mbaya
 
Yaani was wasukuma bhana, utadhani madame ya mbwa 🤣
Hawa jamaa katika jamii yao ni wachache sana wako civilised na tatizo kubwa ni elimu. Wao wanajua wakishazaa watoro wakike ni kusubiri mahali za ng'ombe na wa kiume kuishia machungoni na shambani mpaka watakapofikisha umri wa kuoa.
Wasukuma ambao hawajaelimika hawamini katika kumsomesha mtoto wa kike.
Ukitembelea huku vijijini wengi hata darasa la saba hawamalizi.
Wazee hawataki kusomesha kabisa.

Nadhani wengi bado wanaamini mtoto wa kike ni chazo cha mali basi.
 
Hapo si umemuona wamemzonga,na hapo wametumia busara,zamani Binti alikuwa anakimbizwa,atakayempata anamkula na kumuona Moja kwa moja.huu ni ubakaji kwa kuwa hakuna hiyari ya Binti

By the way sio wasukuma wote,haya mambo yalkuwa maarufu shinyanga,na sasa yamebaki kwa wasukuma walio maeneo ya mbali ambao ni kama mpanda ,Lindi nk.
Mpanda mpaka Sumbawanga huku yametawala sana. Imefikia kipindi watendaji wa kata wametunga sheria ya hawa vijana wakionekana katikati ya miji wakifanya hiyo chagulaga ni kukamatwa na kuwekwa ndani maana wamesababisha madhara makubwa kwa raia wanaokutana nao njiani (Wakishangaa wanayofanya kwa watoto wa kike) kwakuwapiga na bakora wanazotembea nazo mpaka kuwapasua vichwa. Nadhani hizo bakora wanazipaka dawa
 
Wasukuma ambao hawajaelimika hawamini katika kumsomesha mtoto wa kike.
Ukitembelea huku vijijini wengi hata darasa la saba hawamalizi.
Wazee hawataki kusomesha kabisa.

Nadhani wengi bado wanaamini mtoto wa kike ni chazo cha mali basi.
Upo sahihi kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom