Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Hilo ndio kabila kubwa zaidi Tanganyika, mwanaume mmoja anakuwa na watoto hata 30, kuna mbunge wa hilo kabila juzi kati nimeona amepeleka watoto wake kama 20 hivi bungeni akawa anajisifia sana 😁
Kwa kweli ni kabila kubwa 😁😁 umewahi kuona wapi kabila moja linachukua mikoa mitatu na bado karibu kila mkoa kuna eneo wamejiweka panaitwa kwa wasukuma😁
 
Back
Top Bottom