Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Kwa mtindo huu si bora tu tubaki na Zanzibar watustaarabishe Watanganyika mkuu😁 ?
Exactly, na tukiwaambia ninyi sio Wastaarabu huwa mnachukia na vyogo vyenu, Alhamdullilah leo mnakiri wenyewe
 
Wangekuwa wanaimbisha mmoja mmoja kusingekuwa na tatizo ila sio hivyo wanavyomvutavuta mtoto wa watu hadi analia
Hapo anaangaliwa atakayemvutia binti kuanzia mwonekano hadi ng'ombe alizonazo
 
Hapo anaangaliwa atakayemvutia binti kuanzia mwonekano hadi ng'ombe alizonazo
Wanavyomzonga hivyo atapata muda wa kutafakari hayo yote kweli? Labda iwe alikuwa anamfikiria siku nyingi hapo anafanya kuchagua tu. Changamoto inakuja yule uliyekuwa unamtaka hayupo kwenye kundi la kuchaguliwa 😁
 
Basi hujatembea Mkuu, nimewahi kufanya biashara ya kununua mifugo kama kwa miezi 4 hivi, kwahiyo nimewahi kukutana nao hao jamaa minadani
Watu wa Jf kwa ubishi utawaweza, hasa wale wenye limited knowledge 😁
 
Wanavyomzonga hivyo atapata muda wa kutafakari hayo yote kweli? Labda iwe alikuwa anamfikiria siku nyingi hapo anafanya kuchagua tu. Changamoto inakuja yule uliyekuwa unamtaka hayupo kwenye kundi la kuchaguliwa 😁
Hao wanaangalia idadi ya bracelets mikononi, miguuni, shingoni

Ndiyo maana unakuta wamevaa nyingi siku hiyo ya kuchagulaga 🤪
 
Kwamba binti ndio anachagua au anachaguliwa bila hiyari ? Mbona nimeona hao wavulana wanamwambia binti "nichague mimi"?
Vyovyote iwavyo.Binti/mwanamke haipaswi kufanyiwa udhalili kama bidhaa.Hawafundishani,kama kabila,kutongoza,kubembeleza na kuomba kwa adabu hadi mwanamke aingie relini?Mambo ya kishamba hayo!
 
Vyovyote iwavyo.Binti/mwamke haipaswi kufanyiwa udhalili kama bidhaa.Hawafundishani,kama ukabila,kutongoza,kubembelexa na kuomba kwa adabu hadi mwanamke aingie relini?Mambo ya kishamba hayo!
Sema walikiolewa kwa mtindo huo mbona kama wadumu ndoani kuliko wakichagua mwenyewe, wanakua bidhaa automatical ebu tujadili hili japo siungi mkono
 
Back
Top Bottom