Kuna mtu anajua ni nini kinaendelea hapa?

Labda ndio mtindo wao wa maisha wanaoridhika nao na kuufurahia.
... asikuambie mtu!,... msichana wa huko akienda ngomani watu wakampuuzia huwa analia sana na inabidi aende kwa mganga kung'arisha nyota!
Uzuri wa msichana huwa unapimwa kwa jinsi anavyogombewa na hii humpa jeuri hata ya kuomba ng'ombe thelathini kama mahari!
... and God saw it was beautiful!
 
... asikuambie mtu!,... msichana wa huko akienda ngomani watu wakampuuzia huwa analia sana na inabidi aende kwa mganga kung'arisha nyota!
Uzuri wa msichana huwa unapimwa na jinsi anavyogombewa na hii humpa jeuri hata ya kuomba ng'ombe thelathini kama mahali!
... and God saw it was beautifull!
Don't bring God into this 🤣🤣
 
Inaitwa Chagulaga

Ni mfumo wa vijana wa Kiume wa kabila la Kisukuma kupata mchumba kabla ya kumlipia mahari na kumwoa rasmi

Kinachofanyika ni mabinti waliovunja ungo kupita kwenye kundi la vijana waliofikia Rika la kuoa kisha vijana hao kuanza kuimbisha mmoja mmoja

Atakayekubaliwa ndiye atakayeruhusiwa kuendelea na hatua ya kutoa mahari ambayo kwa utamaduni wao huwa ni ng'ombe
--------++++----++-------
Nimewahi kupita mikoa ya wafugaji wa Jamii hiyo na kuona hayo

Huenda nisiwe sahihi sana
 
Una Hakika hao ni wasukuma?
 
Back
Top Bottom