Wild man from the Hills
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,002
- 5,824
Jk alipotoka madarakani aliacha deni la taifa
Likiwa trillion 43,akaingia jpm kipindi chake
Deni likapanda mpaka trillion 61
Ova
Katiba yetu kwa kipindi alichokuwa anaongoza mbona ilikuwa nzuri tu.Misingi na miongozo inawekwa kwenye katiba na sio matamko ya midomoni,
jamaa gani hao wakupe ndoano, wafadhili ?Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula
Katiba yetu kwa kipindi alichokuwa anaongoza mbona ilikuwa nzuri tu.
Mpaka sasa Magufuli anashikiria rekodi ya kukopa pesa nyingi kuliko raisi yoyote katika kipindi kifupi.Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA
Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini ,ina kila aina ya utajiri ,akasisitiza watanzania tuchape kazi na ndani ya muda mfupi alifanya maajabu,shahidi ni Rais wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,mara kwa mara alikiri hadharani juu kazi nzuri ya hayati Magufuli,
Ifahamike mzee huyu ni mchamungu haswa.
Zama za MAGUFULI zimepita.
Awamu ya sita imeingia naona kama tunaanza kulemazwa na misaada uchwara tena,walewale ambao wanafahamu sisi ni matajiri kwa raslimali zetu ndio wako mstari wa mbele na vijimisaada.nasi tunashangilia kweli kweli.
Je, tunahitaji misaada ama tunahitaji viongozi wenye maono ya kuhakikisha neno maskini linafutika midomoni mwetu.
Na kwanini kiongozi anayejaribu kutufumbua macho anakuwa adui kwa hawa wanaotubatiza umaskini?
Huu unaoitwa umaskini ni wa kweli au ni ukosefu wa akili ,uzalendo na maarifa?
Jamaa badala watupe ndoano tuvue samaki kazi yao ni kutupatia samaki wa kula ,nini kilicho nyuma ya hii ajenda?
"Mtanikukumbuka "alisema kiumbe mmoja
Kwa mantiki gani?katiba ya nchii hii haijawahi kuwa nzuri wakati wowote
Mule mule lakini deni linapaaa tuinaonesha hujui kitu ngoja tuweke sawa
mpka anatoka nyerere madarakani deni lilikuwa trilion 3
mzee mwinyi alipotoka baada ya miaka 10 alikopa mpka kufikia trilioni 18 alipoingia mzee mkapa alifanikiwa kulipunguza mpka kufikia trilioni 10, mzee kikwete akakopa mpka kufikia trilion 35 kwa kipindi cha miaka 10 alipoingia Jiwe kwa miaka mitano tu liliongezeka mpka kufikia trilion 63, ndiye raisi alieongeza deni kuliko wote tena kwa mda mchache tu, ameligharimu taifa kwa kiasi kikubwa sana
Umetoa povu hujajibu swali,Wapumbavu wa mwendakuzimu wala hamuwezi kuisha na mtaendelea kuweweseka kenge nyinyi.
Shetani wenu ndio amesababisha MCC wakawithdraw msaada wa mradi wa dola million 700 kwa sababu ya kenge nyinyi.
Umeme wa Rea ni msaada kutoka kwa mabeberu, barabara mikoani zimewekwa lami kwa hisani ya watu wa marekani, lakini kenge mmoja umevimbiwa makande unakuja kujamba JF? Hovyo kabisa. View attachment 1979962
Hivi nchi za kiafrika tatizo ni katibakatiba ya nchii hii haijawahi kuwa nzuri wakati wowote
Ooh my AllahMkuu inaonekana unaeamini katika misaada,au nyie ni wanufaika binafsi wa hiyo misaada?,si hilo povututajikomboa kwa kufanya kazi na ubunifu ,sio misaada ,misaada mingine ndio maana tunaambiwa turuhusu na ndoa za jinsia moja , "wake up gay"
Ukiwambia wanakosea=umetumwa na mabeberu and they build a case on you for economic sabotageMaajabu yaliyofanyika ndiyo yanalipwa na tozo sasa hivi. Mkitaka serikali ifanye maajabu kubalini pia kulipa tozo na mkubali mfumuko wa bei. Hii ni basic Economics ambayo haikwepeki.
High government spending = High taxes and inflation.
Tatizo upinzani hawapo serious kuongoza nchi.kujisahihisha ni pamoja na kuiondoa ccm madarakani
Sasa kwanini aliuliwa?Nakijua Sana hamna kitu pale.Wale ni waathirika wa mawazo ya kikomunist na ujamaa.Watawala wa kiafrica baada ya kushindwa kuwaletea waafrika maendeleo baada ya mbwembe za kuwafurusha wakoloni wakawatumia watu kama kina walter rodney kuwafeed wanafunzi uongo wa kuwatupia lawama wazungu juu kushindwa kwa watawala.Ukoloni mambo leo sijui ubepari hizi filisofia ziliasisiwa Urusi kwenye chuo cha patrick lumumba enzi za vita baridi lengo kuu la Mrusi ni kupandikiza sumu ya chuki dhidi ya ulaya kwa waafrika Ili kupata sapoti ikiwemo kuwabrainwash waafrika waamini matatizo yao yameletwa na Mzungu.
Hicho kitabu kina mawazo ya kikomunist mawazo ya zamani ambayo siyo tija.Kama mwanasiasa analipwa pesa nyingi kuliko msomi kwann msomi asikimbilie ulaya kulipwa pesa nyingi?
Tatizo upinzani hawapo serious kuongoza nchi.
Tunajikuta hatuna option.
Upinzani ulikuwa ule wa CDM 2005-2015. baada ya kuuza chama wamekuwa hawana hoja wala Sera za kuwaunganisha wananchi.
Hivi nchi za kiafrika tatizo ni katiba
Au ufatiliaji/utekelezaji wa katiba ya nchi
Ova
Mule mule lakini deni linapaaa tu
Ova
Kwa mantiki gani?
Ila kuna mamb ni lazima tuwe wakwel, hatujafikia levels za kujitegemea tatizo ni hii misingi ya utegemez tang enzi. Huez mlaumu mtu kwasasa eti anasapoti utegemez while ndio ukweriii na msema kweri na mpenz wa MUNGU!! Tusikatae uhalisia hautotusaidia tatizo ni mfumo!!Mkuu inaonekana unaeamini katika misaada,au nyie ni wanufaika binafsi wa hiyo misaada?,si hilo povututajikomboa kwa kufanya kazi na ubunifu ,sio misaada ,misaada mingine ndio maana tunaambiwa turuhusu na ndoa za jinsia moja , "wake up gay"
Umeongea point mkuu, tatizo hili si Tanzania tu ila Afrika nzima hatuna viongozi wa maana labda Rwanda peke yake.Nawauliza watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?