Kuna Mtanzania bado anaamini nchi hii ni masikini na inahitaji misaada zaidi kujikwamua?

Mkuu inaonekana unaeamini katika misaada,au nyie ni wanufaika binafsi wa hiyo misaada?,si hilo povu
tutajikomboa kwa kufanya kazi na ubunifu ,sio misaada ,misaada mingine ndio maana tunaambiwa turuhusu na ndoa za jinsia moja , "wake up gay"
Tutajikomboa kwa uongozi upi sasa?chini ya hiki chama kinachotegemea akina kibaji na wengineo?
 
Omba omba ni tabia na ukishakuwanayo, huwezi kuiacha mpaka mtoaji aache kutoa.

Ikiwa watoaji bado wanaendelea kutoa, wavivu wa utumiaji wa ubongo wataendelea kuamini katika misaada.

Ni wajibu wa vyama vya siasa waje na siasa/maono mapya katika hili.
 
Hahah
 

Kusema sisi ni matajiri wakati hatuna teknolojia ya kufua umeme ni kujidanganya. Kusema sisi ni matajiri wakati tunategemea pesa ya utalii ni kujipa matumaini bandia.

Kusema sisi ni matajiri wakati chanjo ni ya mzungu ni kujidanganya ni kujipa matumaini ya kuwa siku moja tutakuwa na uwezo na mamlaka juu ya kila tulichobarikiwa na Mungu.

Hayati JPM alitujaza kiburi ambacho hatua inayofuata ilitakiwa iwe ni kukuza uwezo wetu ili tuendane sambamba na kile tulichopewa na Mungu.

 
Wafuate kwao kama una mahaba nao sana...Sisi hatuwataki na pipi zao; tuna nguvu na uwezo wa kujifanyia mambo yetu wenyewe
 
Two can be many...Hao wengi walikuwa wapi? Tuletee taswira/picha ya Dar mji mkuu wakati wa ukoloni tuone hao watu matajiri walikuwa nfiyo akija nani na wakoje....Tatizo la uswahili, maneno mengi, matendo zero!
Tambaza,Mzee Mbowe,Sewa Haji,nimekupa hawa unaowafahamu wengine huwezi wafahamu.
Mikoa yote 25 Mikuu ilijengwa na kupangika na wakoloni niambie mikoa mipya tuliyoanzisha mfano Geita,simiyu,songwe,nk inafika hata nusu na robo ya hio 25 ya kikoloni.
Tembea miji mikubwa uone jengo limeandikwa 1952,1956,nk.
Picha za Dar kabla ya UHURU zipo tele google Kazi kwako.Ujenzi holela wa makazi umeanza baada ya UHURU Hakuna mpangilio wa mji mfano sehemu ya makazi, viwanda,ibada, garden,viwanda vya michezo,nk.
 
Pia fahamu kwenye kuhakiki serikali iliokoa pesa nyingi sana ,upigaji ni jadi nchi hii
 
Well Said
 
Wewe boya kweli
 
Noma sana ,wanajisifu kwa sasa eti misaada imefunguka kweli
 
J
Pia fahamu kwenye kuhakiki serikali iliokoa pesa nyingi sana ,upigaji ni jadi nchi hii
Je, kwa wale ambao hawakupiga kumbuka biashara nyingi zilikopa kwenye mabenki ,unadhani ninini kilitokea kwakutokulipa madeni kwa zaidi ya miaka 4 ama zaidi "many business were closed and confiscated'
 

uyo kiumbe hakuna wa kumkumbuka labda sukuma gang?
 
Kutegemea misaada ni matumizi mabaya ya akili,nchi ya 10 kwa raslimali duniani kuishi kwa kutegemea misaada ni kumkufuru Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…