miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
asante mkuuHahaaa siyo mbaya utakuwa ulisoma pale shuleni kwetu Kisale mwalimu wa hesabu hakuwepo ila upo vyema ...
asante mkuuHahaaa siyo mbaya utakuwa ulisoma pale shuleni kwetu Kisale mwalimu wa hesabu hakuwepo ila upo vyema ...
inaonekana hawapendi kujishusha alaf ivii bado wanatabia ya kujinyonga ukimuudhi au
Hujaelewabe?Bee sijaelewa
Tupe sababu ya kukufanyia hivyonamimi nimejifunza hili kabila kumbe siyo kabs
Arafu = ALAFUHizi lugha nyingine unaweza kutukanwa ukadhani unasifiwa ningekua mm nimetumiwa hiyo SMS yenye neno hela ningemjibu baby nikutumie sh ngapi arafu natuma kumbe minetukanwa!!!
anasema usipompa hela anajinyonga alafu anaacha ujumbe kuwa ww ndo umesababisha
Yaan unaomba siraha kwa adui?naombeni namimi mnipe dongo nimtumie kwa hiyo lugha