Kuna Msichana kaniandikia kihehe naombeni tafsiri wakuu

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
8,464
2,000
inaonekana hawapendi kujishusha alaf ivii bado wanatabia ya kujinyonga ukimuudhi au

mjibu:
" si wi mnofu nda, ne ndi mgaya shida na kugita na veve ndigita na vyanya matengemalilo makomi si nda gako nda"
 

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,605
2,000
Kuna mmoja jirani yangu alifeli form 4 hapendi marafiki yeye anapenda kukaa pekee yake tu kinaringa hicho, kinadharau kinavaa miwani ukimpa Hii anashusha miwani hadi kwenye pua halafu anakuangalia kuanzia chini ya unyayo wako wa miguu hadi kwenye unywele wako wa kichwa shida tupu...
 

Da Pretty

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
3,047
2,000
Mjinga tu huyo kaandika lugha usiyoielewa ili iweje?
Mi ningeifuta nikaendelea na yangu.
 

Dola Iddy

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
1,887
2,000
Hizi lugha nyingine unaweza kutukanwa ukadhani unasifiwa ningekua mm nimetumiwa hiyo SMS yenye neno hela ningemjibu baby nikutumie sh ngapi arafu natuma kumbe minetukanwa!!!
Arafu = ALAFU
Minetukanwa =NIMETUKANWA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom