Vituo vya afya kila Wilaya na hospitali za WilayaNitajie mradi mmoja mkoa wa Tanga
Hajafanya kwako binafsiNyanda za juu kusini Hanna lolote lililofanywa
Acha uboya wewe!unajifnya we ndo mwenyenchiHajafanya kwako binafsi
Kheee.... kwa hiyo vikijengwa vinakuwa vya Magufuli, lakini visipojengwa vinakuwa vya wawakilishi... au umesahau msingi wa swali kwamba utajwe mkoa ambao haujanufaika na mambo ya Magufuli..!? Mkijibiwa mnakwepesha.Huo ni ujinga wa viongozi / wawakilishi wenu!
Tanga sehemu gani? Mbona ya Chato ni rahisi kuitaja?Vituo vya afya kila Wilaya na hospitali za Wilaya
Umeme vijijini
Miradi ya maji
Hasara kwa Taifa hasara kwa familia yakoAcha uboya wewe!unajifnya we ndo mwenyenchi
Very simple andika Umeme wa vijijini Tanga au vituo vya afya vipya Mkoa wa Tanga kwa kuanziaTanga sehemu gani? Mbona ya Chato ni rahisi kuitaja?
Naona unazidi kusogeza milingoti ya magolVery simple andika Umeme wa vijijini Tanga au vituo vya afya vipya Mkoa wa Tanga kwa kuanzia