SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,088
- 75,524
Halafu huko ndiyo wanaishobokea CCM kinoma.Nitajie mradi mmoja mkoa wa Tanga
Halafu huko ndiyo wanaishobokea CCM kinoma.Nitajie mradi mmoja mkoa wa Tanga
Kuchimba mitaro ndio ajira?Unadhani miradi iliyotekelezwa imeunda ajira kiasi gani?
wakandarasi wenyew wachina utaendea haki kijana akitoka hapo jioni kachoka kweli kweli anarudi na buku sita kwa siku ata home hajafika pesa imeishaKuchimba mitaro ndio ajira?
Mbunge wake ni chama kipiNilikua huko juzi....stendi ina matope. Barabara taa hazifanyi kazi yaani mjini ni giza tupu!
Ukiona unaongeza ajira, lakini na umasikini unaongezeka, jua kuwa hujafanya kitu... Hivi vitu viwili vipo INVESERLY PROPORTIONAL kama mambo yapo sawa, ukiona. hata pamoja na kuongeza ajira bado vipo direct proportion.... Jua kuwa unaharibuUnadhani miradi iliyotekelezwa imeunda ajira kiasi gani?
Kwani visingejengwa ndio umaskini ungepungua?Unataka kusema umasikini umepungua ama vp?ajira je,acha akili za kijinga kama jina lako
Chongeleani unapajua?Nitajie mradi mmoja mkoa wa Tanga
Wameahidiwa upanuzi wa airport sasa hivi meno yote nje wana prise and ku worshipHalafu huko ndiyo wanaishobokea CCM kinoma.
Halafu wanasema magufuli anafanya KAZI??Nilikua huko juzi....stendi ina matope. Barabara taa hazifanyi kazi yaani mjini ni giza tupu!
Stendi ya mkoa hawaioniKuhusu sekta ya mawasiliano Kagera ni mji wenye maji kimawasiliani na Serikali ya Magufuli inalitambua hilo kwa kuwekeza katika ujenzi wa meli ya MV VICTORIA...Hakika Chuma anawapenda wote !!
Hiv kama amri zinatolewa kila siku mbona hii stendi yeye hukaa kimyaHuo ni ujinga wa viongozi / wawakilishi wenu!