Kuna Mkoa haujapata mafanikio ya Magufuli?

Kuna Mkoa haujapata mafanikio ya Magufuli?

Nakushauri utumie lugha ya kitaifa kuwa kuna mkoa haujapata mgao wa keki ya taifa?
Maana zinazo tumika ni fedha za watanzania siyo za mtu mmoja wala hazitoki mfukoni
 
Nakuona kwenye ubora wako Jinga Lao ushapigia suti yako dadeeki
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Kuhusu sekta ya mawasiliano Kagera ni mji wenye maji kimawasiliani na Serikali ya Magufuli inalitambua hilo kwa kuwekeza katika ujenzi wa meli ya MV VICTORIA...Hakika Chuma anawapenda wote !!
Hapo napo ni kagera?
tapatalk_1465466123084.jpeg
 
Kwenye shule sasa bila dawati na rimu sojui majembe yaani mamichango kama Kawa kama unabisha huna mtoto shule ya msingi au sekondari..watoto wamerundikana balaa serikali imeshindwa kujenga shule mpya maeneo tofauti afu unaniambia ndege huu ni ujinga wa watu weusi
 
Serikali badala ipeleke pesa Tarura wananchi wapate barabara za vijijini wao wananunua ndege afu wanyonge mbuzi wanashangilia
 
Nitajie mradi mmoja mkoa wa Tanga
Reli ya Tanga Arusha inaboreshwa
Stendi ya korogwe
Mashamba ya mkonge yaliyokuwa yanahodhiwa na mabwanyenye yamegaiwa kwa wananchi walime.
 
Reli ya Tanga Arusha inaboreshwa
Stendi ya korogwe
Mashamba ya mkonge yaliyokuwa yanahodhiwa na mabwanyenye yamegaiwa kwa wananchi walime.
Reli ipi? Hiyo ambayo ilifanyiwa uonesho kama ile mikate ya hekalu la Mfalme Seleman kwa show moja ya kufika moshi ili Majaliwa aipokee? Kwa taarifa yako hiyo treni haijawahi tena kufika huko Moshi sijui na reli yenyewe mnayosema mmeboresha imesombwa na maji. Ombeni tena kodi mkatengeneze
 
Hakuna ulichokiandika hapo ambacho huko nyuma hakikuwa kinafanyika ...............!!
 
Back
Top Bottom