Kuna michepuko ni takataka kabisa

We nae akili zako sijui zikoje, sasa vitu vya kawaida hivyo unaposti hadi huku, nyuzi zako na huyo mchepuko wako ni za ajabu sana, inaonekana wote wewe na mchepuko wako akili zenu ni mbovu tu.
 
DeepPond hivi Bado unaendeleaga tu na hii isidingo yako!? Haiishagi!?

Hivi nikuulize...!? Wewe ni mwanaume kweli!?

Ama mvaa suruali mmoja wa kuitwa mwanaume!?
Mi mwenyewe namshangaaga, eti nayeye ni university graduate, wenzake wanaleta nyuzi za maana yeye kila mara anaandika mambo ya ovyo ambayo hata darasa la saba hawezi kuandika.
 
Kazi mnayo,mimi hayo mambo yalishanishinda,unaweza pata pressure kabla ya siku zako,mke anakupa ma stress na huku mchepuko nao unakupa stress,hapo bado watoto,hapo bado kazini,hujaweka na mikopo bado...
 
Yaani ukiona janaume lina demu asiye na akili ujue na lenyewe halina akili vile vile, mtu unapata wa kufanana nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…