Kuna michepuko ni takataka kabisa

Nilidhani ni mimi pekee ninaekutanaga na ishu kama hizi. Pole sana mkuu kwa michepuko kichwa mbovu.
Kuna Watu wamebahatika michepuko yao haiwasumbui, wanaona wenzao Kama hatuna akili vile
 
Kuna Watu wamebahatika michepuko yao haiwasumbui, wanaona wenzao Kama hatuna akili vile
Tena wengine wanajisahaulisha kama na wao wanamichepuko, eti ni wema kwa wenzi wao. Hahahaaaa..... Jf kuna mambo.
 
my friend, mwanamke kuwa tu mchepuko, ni kupoteza akili yote. hajawahi kutokea mwanamke mchepuko mwenye akili hata mmoja. we angalia hata wanawake waliozaa na waume za watu, ni machizi, na huwa anaamini ana haki ya kupendwa kuliko mwenye mali. hata hivyo wanaume tunatakaga tu sisi wenyewe kufokewa, kweli unaanza kushushiwa heshima na mchepuko wakati wife kajaa tele nyumbani? na usikute hapo mwanaume ni 40s hako kamchepuko ni 20s. Mwanaume kauza utu wake wote kwa kischana kama icho.
 
Sasa si usepe tu. maana kila siku ni drama na wewe umenasa tu hapo unangoja nini ? akuloge au
 
You are stuck in toxc relationship and you like it πŸ˜€ 😎
 
mkuu utamu wa mama j umezidiii πŸ˜€ πŸ˜€
🀣
Jamaa mwenyewe anakiri utamu anaoupata ni "the best"

Hapo inakuwa ngumu kumuacha, au kutafuta mwingine. Maana kila akiwaza utamu, anajiuliza ataupata wapi utamu mzuri kama ule. Yaani anaweza akapata mchepuko mwingine ila ishu je K yake itakuwa tamu kama ya majay au zaidi yake?
Sio kweli,nishakutana nazo nyingi,Hii ya kwake Ni the best
 
Michepuko inakua na msaada tu pale inapokuwa ni tiba ya stress za ndani,ila inabadilika kuwa sumu ikianza kuwa stress generator.Kimsingi usitegemee mchepuko atajali afya ya mkeo sababu kifo cha mkeo kinaweza kuwa faida kwake,Alicho nacho huyo mchepuko wako ni kutokuwa mnafki hata kidogo.Mi siwezi kumuongezea round hata dk mchepuko anayenipa stress unless kuna kitu kikubwa cha ziada tukiacha mapenzi napata toka kwake.
 
Wewe tulia na mke wako wacha kuhangaika mzee, maisha hayataki mbwembwe ......... siunaona unavyoteseka sasa kuja kutuletea uzi wa umbea wa kugombana na mchepuko wako, hii ni kwasababu huwezi hata waeleza washkaji wakakuelewa. Chamsingi we tulia tu na mama na utapata baraka mingi balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…