Kuna michepuko ni takataka kabisa

Kwani hapo shida nini mkuu?
-Unga robo: 500
-Kitunguu kidogo: 50
-Mchicha: 100
-Mafuta :100
-Maharage : 500
-Nyanya: 200

Total inakuja 1450. Si yeye shida ni kitu cha kupika!? Mkaa au gesi ilikuwepo,maji na vitu vyote vilikuwepo. Mtumie mchanganuo huo na mtumie hiyo hela. Isizidi hiyo tafadhali.
Uone kama kesi haitaisha
 
Tujue kutofautisha kuwajibika na matatizo ya kujitakia. Umeoa kula, kuvaa, kulala kwa familia yako ni wajibu wako, watoto kwenda shule ni wajibu wako. Lakini kuchunwa na michepuko ni matatizo ya kujitakia
Kwel kabsa mkuu, ila mchepuko upewe zile chenji tu zinazobaki baada ya matumizi.
 
Asa wewe unataka awe na utu upi wewe mwenyewe huna utu ungekuwa nao usingemsaliti mkeo

Halafu unategemea nini kwa mchepuko haswa et ajali mkeo ili iwejee wewe mwenyewe humpendi mamajay halafu yeye ndio ajifanye mnafki

Uliona wapi mchepuko ana utu na mkeo… wewe mlipe pesa yake
 
Mbona hapa unaonekana ni alpha male lakini kwenye chats unaonekana boya TU!
 
Juzi nilienda kwenye utafutaji nikapigwa sana mvua. Nikawaza kama hivi, yaani nanyukwa mvua hivi halafu anakuja k mmoja ananifokea anataka hela
 
hahhahaah mchicha wa 100, mafuta ya 100 na kitunguu cha 50 vikoje?

teh teh teh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…