Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Wakuu kuna mdada Anadai ana mimba yangu mpaka sasa sijui nifanyeje maisha yangu yenyewe hayaeleweki sijui pakuanzia wala kumalizia.
Na binti naye hana mpango wa kuchomoa ushauri ndugu zangu sijui ni nini cha kufanya msaada kwenu wa kuishauri ni hatua zipi sahihi za kuchukua kuanzia hivi sasa.