Kuna mdada nimempa mimba alafu maisha yangu hayaeleweki. Nifanye nini?

USHATENDA KOSA LA DHAMBI YA UASHERATI HALAFU UNATAKA KUMTOA MIMBA BINTI WA WATU,DHAMBI NYINGINE HII

Kuna laana zingine tunajitafutia wenyewe
Kumtia mtu mimba ni dhambi? Hizi sheria na vizuizi vyenu mnavyojiwekea vitawafanya mkufe kabla ya umri wenu,mfalme Suleiman aliyeoa wake elfu moja ana dhambi ngapi ?
 
Nyakati muhimu katika maisha ni Kama hizo boy.Simple tu hatua ya kwanza kubali hiyo mimba.kama ushafanya hivyo kaa utulie utafakari cha kufanya,daima huwa Kuna njia.hata ukisema umshawishi atoe,haifanyi maisha yako yaeleweke.Usikate tamaa
Heavyweight advice!
 
Kila mtoto uja na sahani yake...pengine akaja kuwa kama Mandela.
 
Back
Top Bottom