Doctor Stranger
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,202
- 6,143
Fanya maamuzi magumu..
We mama kumbe unaroho ngumu hivo.muwekee miso kwenye maji ya kunywa usikubali kabisa
mxiieew
sasa unataka nimshauri nini?We mama kumbe unaroho ngumu hivo.
Atulie mtoto akishazaliwa yataeleweka tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alizani ulivovaa suti ni tajiri kumbe msabato
Dah fulsa n nyingi sana hpa mjini hahahaTuingie mkataba wa kulea hiyo mimba mkuu, kama una dhamana ambayo ni nyumba,kiwanja au gari.
Tunalea kuanzia mimba hadi mtoto akiwa na mwezi mmoja.
Karibu sana micao pregnant women's care (mpwc).
Hana dhambi, lea mimba. Asikudanganye mtu kuwa ulitenda dhambi, utakuwa unajihukumu for nothing.USHATENDA KOSA LA DHAMBI YA UASHERATI HALAFU UNATAKA KUMTOA MIMBA BINTI WA WATU,DHAMBI NYINGINE HII
Kuna laana zingine tunajitafutia wenyewe
Alikuwa anafurahia doggy style bila ya kujua ya kwamba kuna malipo yake!Sio anadai ni mimba yako wakati mnakwichi kwichi bila condom si ulikuwa unasikia utamu hayo ndio matunda yake sasa lea mtoto huyo
Pole mkuu, ila ukimwagilizia maji mmea nina hakika unakuwa na lengo uote utoe matunza mkuu. Sox imekuponzaWakuu kuna mdada Anadai ana mimba yangu mpaka sasa sijui nifanyeje maisha yangu yenyewe hayaeleweki sijui pakuanzia wala kumalizia
Na binti naye hana mpango wa kuchomoa ushauri ndugu zangu sijui ni nini cha kufanya msaada kwenu wa kuishauri ni hatua zipi sahihi za kuchukua kuanzia hivi sasa
Karibu sana mkuu, jiajiri mimi siwezi kuhudumia Tanzania.Dah fulsa n nyingi sana hpa mjini hahaha