Kuna Maudhui Mengine kwenye Social Media yanapaswa kuzuiwa Tanzania

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
5,894
Reaction score
11,782
Siingilii personal life na najua watu hasa hawa walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno

Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social media wakiona watu wanafanya hivi watoto wanaweza kuona ni kawaida.

Mbona Bongo kwenye mziki tunafanya vizuri sana kuzuia wasanii wasifike mbali, tunaona ukivuka mipaka tu BASATA wanakula sahani moja na wewe, kwa nini wasianze kuweka sheria kwa content creators pia?
Kuna content nyingine zinatia kinyaa, watu wanavuka mipaka
 
Siingilii personal life na najua watu walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect

View attachment 3561899
Mkuu,

Una matatizo na sexualized content zote au za walioleft group tu?
 
Zote tu
Za walioleft na wasioleft, plus za wanaume kujilegeza kama wanawake
Hii mitandao inakuwa na terms of service zake, angalia kama amevunja terms of service um ripoti.

Pia kuna tiered accounts nyingine kwa watu wote, nyingine za watu wazima, pengine hiyo ni ya watu wazima.
 
Terms na service za mitandao huwa hawajavunja, ila it's okay najua sikuhizi watetezi wa haya mambo wameongezeka, there's nothing more I can say. Ngoja niache dunia iende inavyoenda. I don't know why, but it feels so wrong

Halafu hapana, account ya huyo jamaa aliyepost ni ya wote sio watu wazima. Mtu yoyote yule anaweza kuiona na ndio hivyo content creators wengi wanapost vitu ambavyo wote wanaweza kuviona kwenye fyp
 
Achana na ujinga wa kutaka ku police maisha ya watu.

Unaweza kuvaa kiatu ukatembea dunia nzima mguu wako usiguse ardhi.

Au unaweza kutaka kutandika zulia dunia nzima mguu wako usiguse ardhi.

Acha kujaribu kutandika zulia dunia nzima.

Acha kujaribu kuweka morality yako ndiyo iwe morality ya dunia.

Hao unaowasema wanaume wanajifanya wanawake na wao wana haki zao za kufanya hivyo kama wewe ulivyo na haki zako za kuishi unavyotaka.

Wana human rights, wana sexual orientation rights, wana minority rights.

Kwa nini wanakushughulisha hivyo?

Kwani wamekulazimisha uwaangalie?

Huwezi kuwa unfollow ukagoma kuangalia vitu usivyotaka?

Unajua hapa sasa hivi umempa promo sana huyo jamaa kutakuwa na mamia kama si maelfu ya watu watampa views kwa sababu umeweka video yake hapa?
 
Hamna ujinga wowote hapo. Pia hamna anaye police maisha ya mtu yoyote hapo
Wewe ndio uache ujinga wa kutetea kila upuuzi ili tu upate mtu wa kubishana nae, na ujifunze kufikiria vitu mara mbili mbili
Hata wasanii wana haki ya kuimba nyimbo za uchi, lakini wakifanya hivyo BASATA wanafungia nyimbo zao?

Pia kama wanataka kuacha watu wawe wanapost hivi wanavyotaka it's fine, basi wamiliki wa social waimprove namna content za hivi ziishie kwa akaunti za watu wazima pekee. Hivi unajua kuja video ya hapa Tz ipo TikTok hadi leo ambayo mtu alijirekodi njia ya haja kubwa na kila kitu kinaoneshwa? Siwezi kukuonesha hapa utasema naipigia promo, ila TikTok upande wa Tanzania, ni tofauti na mambele, ya huku iko careless sana. Huenda watu hawana uelewa na mambo ya ku report content, kwa hiyo content za kipuuzi zimezagaa tu. Achana na hizo za wanaume kujilegeza tu najua utasema ni sawa kufanya hivyo ila zipo content nyingine ambazo ni over sexualized, na huwezi jua bahati mbaya watoto wanaweza kukutana nao siku wakiwa wanascroll hata kama umeweka version za watoto za social media
 
Hamna ujinga wowote hapo. Pia hamna anaye police maisha ya mtu yoyote hapo
Wewe ndio uache ujinga wa kutetea kila upuuzi ili tu upate mtu wa kubishana nae, na ujifunze kufikiria vitu mara mbili mbili
Hata wasanii wana haki ya kuimba nyimbo za uchi, lakini wakifanya hivyo BASATA wanafungia nyimbo zao
Mimi sijataguta mtu wa kubishana nayw, wewe ndiye umeleta mada mimi nakujibu tu.

Kwanza siwezi kubishana na wewe kwa sababu ili tubishane inatakiwa tuwe katika kiwango kimoja, hatupo katika kiwango kimoja mimi nakufundisha dunia tu wewe.

Kawaripoti BASATA basi tuone.

Maisha ya watu baki wewe yanakusumbua nini?

Katika vitu vyote unavyoweza kufanya, unavyoweza kujifunza kuboresha maisha yako, umeona kuwafuatilia mashoga ndiyo kitu muhinu sana? Unawapenda? Huna shuvhuli nyingine ya muhimu zaidi?

Kinachokusumbua sana hao mashoga wakifanya ushoga wao kivyao bila kukulazimisha wewe ni kipi?

Mambo haya si rahisi kama unavyotaka kuyafanya.

Hao mashoga na wao wana haki zao, zinazotambulika kimataifa, na Tanzania imesaini mikataba ya kimataifa inayotetea haki za watu wote kujiamulia wenyewe sexual orientation zao.

Haki yako wewe kuwa si shoga ndiyo haki hiyo hiyo ya shoga kuwa shoga.

Ukimvunjia hiyo haki shoga umefungua mlango wa wewe kulazimishwa kuwa shoga.

Ila nafahamu hufahamu, huelewi human rights, huelewi sexual orientation rights, huelewi individuals rights, huelewi minority rights.

Unataka kila mtu afuate morality yako.

Unataka kuwa polisi wa mitandaoni.

Uta polisi mitandao mingapi wewe mja usiye na uelewa wa mambo zumbukuku ulimwengu uko huku?

Huijui dunia wewe.
 
Kawaripoti BASATA basi tuone.

Maisha ya watu baki wewe yanakusumbua nini?

Kinachokusumbua sana hao mashoga wakifanya ushoga wao kivyao bila kukulazimisha wewe ni kipi?

Mambo haya si rahisi kama unavyotaka kuyafanya.

Hao mashoga na wao wana haki zao, zinazotambulika kimataifa, na Tanzania imesaini mikataba ya kimataifa inayotetea haki za watu wote kujiamulia wenyewe sexual orientation zao.

Haki yako wewe kuwa si shoga ndiyo haki hiyo hiyo ya shoga kuwa shoga.

Ukimvunjia hiyo haki shoga umefungua mlango wa wewe kulazimishwa kuwa shoga.

Ila nafahamu hufahamu, huelewi human rights, huelewi sexual orientation rights, huelewi individuals rights, huelewi minority rights.

Unataka kila mtu afuate morality yako.

Unataka kuwa polisi wa mitandaoni.

Uta polisi mitandao mingapi wewe mja usiye na uelewa wa mambo?

Huijui dunia wewe.
We nae huwa unareply kama msenge msenge. Nani kasema nakataza watu kuwa mashoga. Kwa hiyo povu lote hili kwa sababu unadhani naumia watu kuwa mashoga 🤔
 
Hilo jibu lako tu libakuonesha wewe ni homophobic, unatumia neno uaenge kama slur.

Usenge ni lifestyle ya watu tu wewe mshamba, umeshindwa hoja unaleta viroja.

Sasa kama hukatazi watu kuwa mashoga hapa unafanya nini kwenye uzi huu?

Wewe una ndoto za kutawala watu Ki Talaban katika ulimwengu ambao teknolojia hairuhusu jambo hilo.

Una mawazo ya kizamani sana ya kuitaka serikali kandamizi inayoua na inayofanya censorship zisizo na maana izidi kupata ngivu ya kuwafungia watu wasiwe na uhuru hata mdogo walio nao.

Kifuli wewe na hiyo serikali yako wote hamna akili.

Jana kaja waziei wako ninemuuliza maswali ya naingi ya legal frameworl kwenye suala hiki, kakimbia bika kujibu.

Tanzania ni vigumu kuendelea kwa sababu raia wengi kama wewe ni wajinga, na viongozi kama waziei wako Gwajima nao wajinga.

Wote mnajazana ujinga, kushikilia mambo ya kijinga ya ku pokice mashoga mitandaoni, wakati mnapigwa mazingaonbwe mambo ya kudai uhuru hamuwezi.

Huu ni ujinga tu wa kuwatoa watu kwenye reli ya ku focus mambo ya msingi ya kuendeleza nchi.

These culture wars are stupid distractions to distract you from the real problems.

Watu hawana kazi, hawana elimu, hawana uhuru.

Wewe unatafuta namna ya kuwabana mashoga mitandaoni.

Lack of priorities.
 
Usenge ni lifestyle tu wewe, umeshindwa hoja unaleta viroja.

Sasa kama hukatazi watu kuwa mashoga hapa unafanya nini kwenye uzi huu?
Hujui hata kusoma composition fupi kichwa chako kikaelewa
Tangu mwanzo nilijua ulikuja hapa kutetea mashoga uliponiuliza kama sexual content ninazoumia kuziona ni za mashoga au zote. Nikakujibu zote ila bado ukatafuta njia ya kufanya ionekane nazuia watu kuwa mashoga, upate nafasi ya kuwatetea 🤔
Kuna contents zinaandaliwa hapa Tz ni ufuska mtupu. Sio tu za hao mashoga, bali kila mtu. Ingekuwa sawa wakiwa wanaset age ili akaunti za below 18 wasizione hizo content zao, lakini huwa zimezagaa tu maana mamlaka za huku hazipo serious
Hata huko nchi za Magharibi wako strict kusimamia content zinazoangaliwa na watoto kwenye social media, huku kwetu ni very careless. Mtu unaandaa tu content unapost kila mtu anaona, halafu wewe unaona hiyo ni sawa??
 
Hujui hata kusoma composition fupi kichwa chako kikaelewa
Tangu mwanzo nilijua ulikuja hapa kutetea mashoga uliponiuliza kama sexual content ninazoumia kuziona ni za mashoga au zote. Nikakujibu zote ila bado ukatafuta njia ya kufanya ionekane nazuia watu kuwa mashoga, upate nafasi ya kuwatetea 🤔
Kuna contents zinaandaliwa hapa Tz ni ufuska mtupu. Sio tu za hao mashoga, bali kila mtu. Ingekuwa sawa wakiwa wanaset age ili akaunti za below 18 wasizione hizo content zao, lakini huwa zimezagaa tu maana mamlaka za hukh hazipo serious
Hata huko nchi za Magharibi wako strict kusimamia content zinazoangaliwa na watoto kwenye social mediam, huku kwetu ni very careless. Mtu unaandaa tu content unapost kila mtu anaona, halafu wewe unaona hiyo ni sawa??

Sasa hiyo video utaishitaki kwa minajili gani? Kwa kifungu gani utamshitaki mtu anayebidua midomo na kujipindua sura? Kama si kulazimisha watu waende kwa morality yako ya kukataa ushoga ambayo hata haieleweki mipaka yake iko wapi, kipi ni ushoga na kipi si ushoga?

Hata huo ufuska mtupu unaousema ni ujinga tu kujifanya kiranja kuufuatilia kwa sababu platforms zina terms of service zake. Kama mtu ka abuse kashitaki.

Nimekwambia ripoti kwenye platform.

Kama platform zinaruhusu halafu mnaona huo ujinga wenu mnaouita maadili ya KiTanzania ambayo hakuna yalipokubaliwa na Watanzania popote mnaona ni kinyume, nimekwambia kashitaki BASATA, kashitaki serikalini. Kama unafikiri una serikali bado mpaka leo kwa ujinga wako.

Umeshitaki au unabwabwaja tu hapa kutafuta attention wakati hakuna lolote unalofanya?

Jana kaja waziri wenu Gwajima hapa, nimemuuliza what is acceptable to publish publicly and what is not.

Waziri wenu mwenyewe kajishebedua hakuweza kujibu swali.

Hiyo serikali unayoitaja huna.

Huelewi wapi wewe ngumbaru?
 
Sasa hiyo video utaishitaki kwa minajili gani? Kwa kifungu gani utamshitaki mtu anayebeidua midomo na kujipindua sura? Kama si kulazinisha watu waende kwa morality yako ya kukataa ushoga ambayo hata haieleweki mipaka yake iko wapi, kioi ni ushoga na kipi si ushoga?

Hata huo ufuska mtupu unaousema ni ujinga tu kujifanya kiranja kuufuatilia kwa sababu platforms zina terms of service zake. Kama mtu ka abuse kashitaki.

Nimekwambia ripoti kwenye platform.

Kama platform zinaruhusu halafu mnaona huo ujinga wenu mnaouita maadili ya KiTanzania ambayo hakuna yalipokubaliwa na Watanzania popote mnaona ni kinyume, nimekwambia kashitaki BASATA, kashitaki serikalini. Kama unafikiri una serikali bado mpaka leo kwa ujinga wako.

Umeshitaki au unabwabwaja tu hapa kutagmfuta attention wakati hakuna lolote unalofanya?

Jana kaja waziri wenu Gwajima nimemuuliza what is acceptable to publish publicly and what is not.

Wazidi wenu mwenyewe kajishebedua hakuweza kujibu swali.

Hiyo serikali unayoitaja huna.

Huelewi wapi wewe ngumbaru?
Hebu slow down kwanza, haya yote yanatoka wapi mbona ni way out of point na unajaribu kudiverge mada. Au umeumia nilivyokuambia unareply kama msenge msenge 😂😂
 
Siingilii personal life na najua watu walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno

Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social media wakiona watu wanafanya hivi watoto wanaweza kuona ni kawaida.

Mbona Bongo kwenye mziki tunafanya vizuri sana kuzuia wasanii wasifike mbali, tunaona ukivuka mipaka tu BASATA wanakula sahani moja na wewe, kwa nini wasianze kuweka sheria kwa content creators pia?
Kuna content nyingine zinatia kinyaa, watu wanavuka mipaka
View attachment 3561899
Huyo tayari keshayaaga mashindano na hapo anamuimbia mende wake
 
Hebu slow down kwanza, haya yote yanatoka wapi mbona ni way out of point na unajaribu kudiverge mada. Au umeumia nilivyokuambia unareply kama msenge msenge 😂😂
Hayo yote yanatoka kwenye uzi wako wewe control freak unayetaka watu waishi kwa kufuata morality yako ambayo apparently hata wewe mwenyewe hujui kuielezea.

Wewe mwenyewe huwezi kuelezea unataka nini, unategemeaje watu wakakuelewa?

Hiyo video uliyo i post kwenye original post unaishitaki hapa kwa minajili gani?

Huyo mtu anajifurahia kivyake na muziki wake. Hajakulazimisha umtazame.

Wewe tatizo lako nini?

Umeshindwa kuelezea.
 
Hayo yote yanatoka kwenye uzi wako wewe control freak unayetaka watu waishi kwa kufuata morality yako ambayo apparently hata wewe mwenyewe hujui kuielezea.

Wewe mwenyewe huwezi kuelezea unataka nini, unategemeaje watu wakakuelewa?
Content za 18+ zinapaswa kuangaliwa na watu wa 18+ so watu wanapopost content za kipuuzi hovyohovyo bila kujali audience lazima issue ziwe addressed. Kila nchi duniani inafanya hivi, na wala sio Taliban kama unavyosema, unajaribu tu kuwa dramatic

Tatizo lako huwa unakurupuka kujibu hoja. Hutumiagi akili hata kidogo ndio maana huwa ni ngumu kukuelewesha, na unapenda drama za kitoto
 
Back
Top Bottom