Kuna Maudhui Mengine kwenye Social Media yanapaswa kuzuiwa Tanzania

Content za 18+ zinapaswa kuangwaliwa na watu wa 18+ so watu wanapopost content za kipuuzi hovyohovyo bila kujali audience lazima issue ziwe addressed. Kila nchi duniani inafanya hivi

Tatizo lako huwa unakurupuka kujibu hoja. Hutumiagi akili hata kidogo ndio maana huwa ni ngumu kukuelewesha.
Content ya +18 unaijuaje hii content ya +18 na hii si ya +18 ni comedy skit tu ya kuchekesha watu?

Kama mtoto wako anaweza kuwa influenced kirahisi hivyo na hizi videos, una tatizo kubwa la hometraining kupita hizi videos, maana yake huyo mtoto itabidi uwe unamlinda kama bodyguard muda wote.

That will create a very fragile generation that needs to be shielded from life basically.

People have different taste in these things, wewe unachoona matusi wengine wataona utani na kucheka tu.

So where do you draw the line, how do you draw the line? What is appropriate gatekeeping, and what is undue censorship?

Kujibinuabinua midomo tu tayari ni content ya +18?

Utaweza kuangalia Mrs. Doubtfire wewe?

Na TikTok wana sheria zao kuhusu content za +18, ume i flag account kuwa ina content za +18?

Umeiripoti akaunti BASATA na serikalini?

Au unafanya kama kawaida yenu wabongo wengi, kulalamika pembeni kwingi lakini kuripoti mambo panapotakiwa zero?

Hiyo video iko very subject to interpretation na wewe kuishikia bango inaonesha wewe ulivyo homophobic kuliko video kuwa explicit.

Jaribu kujifunza kuishi na watu walio tofauti na wewe na kuwapotezea tu as long as hawakulazimishi kitu.

Hao under 18 wana vitu vingi vya ajabu vya kuona mitandaoni kuliko hiyo video.

Na hao watu wako wa serikali unaowataja kama suluhishi hata hawajui kipi kinakubalika kuwa published na kipi hakikubaliki, at least huyo waziri wenu Gwajima jana nilimuuliza hapa kakimbia swali hakujibu.

Kwa hiyo nakushangaa unatumaini serikali bado.

Hii serikali ya kufanya censorship kisiasa mpaka JF imeifungia kisiasa ndiyo unataka ifuatilie watu na kianza kiwafungia kwa wanavyopost? Unaelewa unintended consequences gani unaenda kutengeneza hapo?

Hapa JF kuna stories kibao explicit. Watu wanaandika, wanapost, wanasoma.

Utataka JF nayo ifungiwe mpaka watu wawe verified kama ni over 18?

Au hiyo ni special kwa unaowaona mashoga tu?
 
Content ya +18 unaijuaje hii content ya +18 na hii si ya +18 ni comedy skit tu ya kuchekesha watu?

Kama mtoto wako anaweza kuwa influenced kirahisi hivyo na hizi videos, una tatizo kubwa la hometraining kupita hizi videos, maana yake huyo mtoto itabidi uwe unamlinda kama bodyguard muda wote.

That will create a very fragile generation that needs to be shielded from life basically.

People have different taste in these things, wewe unachoona matusi wengine wataona utani na kucheka tu.

So where do you draw the line, how do you draw the line? What is appropriate gatekeeping, and what is undue censorship?

Kujibinuabinua midomo tu tayari ni content ya +18?

Utaweza kuangalia Mrs. Doubtfire wewe?

Na TikTok wana sheria zao kuhusu content za +18, ume i flag account kuwa ina content za +18?

Umeiripoti akaunti BASATA na serikalini?

Au unafanya kama kawaida yenu wabongo wengi, kulalamika pembeni kwingi lakini kuripoti mambo panapotakiwa zero?

Hiyo video iko very subject to interpretation na wewe kuishikia bango inaonesha wewe ulivyo homophobic kuliko video kuwa explicit.

Jaribu kujifunza kuishi na watu walio tofauti na wewe na kuwapotezea tu as long as hawakulazimishi kitu.

Hao under 18 wana vitu vingi vya ajabu vya kuona mitandaoni kuliko hiyo video.

Na hao watu wako wa serikali inaowataja kama sulihishi hata hawajui kipi kinakubalika kuwa piblished na kipi hakikibaliki, at keast hiyi waziri wenu Gwajima jana nilimuuliza hapa kakimbia swali hakujibu.

Kwa hiyo nakushangaa unatumaini serikali bado.

Hapa JF kuna stories kibao explicit.

Utataka JF nayo ifungiwe mpaka watu wawe verified kama ni over 18?

Au hiyo ni special kwa unaowaona mashoga tu?
We hebu acha zako bhana, hivi unadhani sexual content ni mpaka uone watu wanagegedana kwenye screen yako?

Halafu watoto huwa wanalindwa dhidi ya homosexual content kwa sababu hata huko West watoto wanapaswa kuachwa hadi wakue ndio wazione hizo content

Labda kama unajitoa ufahamu ila hiyo content ni sexual content 100%, na sio ya kuangaliwa na watoto. Katika muktadha wa kawaida ni scenario ipi hiyo ambayo ni normal mwanaume anaringa na kulembua macho namna hiyo? Hii content ni ya ushoga na haya masuala ya ushoga ni ya watu kujiamulia wakiwa 18+
Pia hiyo ni content moja tu, zipo nyingine nyingi kutoka pande zote ambazo still hazifai kwa watoto
Nini kigumu kuelewa kwamba content zinapaswa kudirectiwa kwa watu according to age
Liberals wamekuharibu akili wewe sio bure
 
We hebu acha zako bhana, hivi unadhani sexual content ni mpaka uone watu wanagegedana kwenye screen yako?

Halafu watoto huwa wanalindwa dhidi ya homosexual content kwa sababu hata huko West watoto wanapaswa kuacha hadi wakue ndio wazione hizo content

Labda kama unajitoa ufahamu ila hiyo content ni sexual content 100%, na sio ya kuangaliwa na watoto. Katika muktadha wa kawaida ni scenario ipi hiyo ambayo ni normal mwanaume anaringa na kulembua macho namna hiyo? Hii content ni ya ushoga na haya masuala ya ushoga ni ya watu kujiamulia wakiwa 18+
Pia hiyo ni content moja tu, zipo nyingine kutoka pande zote ambazo still hazifai kwa watoto
Nini kigumu kuelewa kwamba content zinapaswa kudirectiwa kwa watu according to age
Liberals wamekuharibu akili wewe sio bure
Hujaeleza kipi kinakubalika na kipi hakikubaliki na unawekaje mpaka.

Umejionesha wewe ni homophobic kwa kusema watoto wanatakiwa walindwe dhidi ya homosexual content wakati kama unajali watoto kweli unatakiwa uwalinde watoto against all sexual content, si homosexual tu.

Kwa hiyo hapa unajionesha wewe hoja yako ni ku target homosexuals, si ku protect watoto.

Kama unaona hiyo content ni sexual iripoti basi acha kupiga domo tu hapa.

Iripoti basi ifutwe kwa nini unaiacha tu? Umeiripoti?

Iripoti Tiktok ifungiwe ufurahi.

Maana ndicho unachotaka hicho naona.

Ukishindwa kuchukua hatua ukabaki unalialia tu hapa nakuona mtu wa kutafuta kick tu huwezi kusimamia unachosema unakiamini.
 
Hujaeleza kipi kinakubalika na kipi hakikubaliki na unawekaje mpaka.

Umejionesha wewe ni homophobic kwa kusema watoto wanatakiwa walindwe dhidi ya homosexual content wakati kama unajali watoto kweli unatakiwa uwalinde watoto against all sexual content, si homosexual tu.

Kwa hiyo hapa unajionesha wewe hoja yako ni ku target homosexuals, si ku protect watoto.

Kama unaona hiyo content ni sexual iripoti basi acha kupiga domo tu hapa.

Iripoti basi ifutwe kwa nini unaiacha tu? Umeiripoti?

Iripoti Tiktok ifungiwe Tanzania ufurahi.

Maana ndicho unachotaka hicho naona.
Please, use common sense for once
Umeniuliza kuhusu hiyo video hapo juu, na hiyo video inafall kwenye homosexual category kwa hiyo nimekujibu specifically about hiyo video uliyouliza, mwisho nikaongelea na video nyingine pia kutoka pande zote.

Yani unataka jibu juu ya video yenye homosexual content halafu unataka nikijibu nisitaje neno homosexual. Au umesahau swali lako? Una dementia we mzee?
 
Terms na service za mitandao huwa hawajavunja, ila it's okay najua sikuhizi watetezi wa haya mambo wameongezeka, there's nothing more I can say. Ngoja niache dunia iende inavyoenda. I don't know why, but it feels so wrong

Halafu hapana, account ya huyo jamaa aliyepost ni ya wote sio watu wazima. Mtu yoyote yule anaweza kuiona na ndio hivyo content creators wengi wanapost vitu ambavyo wote wanaweza kuviona kwenye fyp
wewe pia umeiposti hapa kwa lengo gani, na mimi nikienda kukufungulia uzi fb nikasema umeposti jf? umeshaona hakifai but still umeichukua na kuisambaza huku, halafu unajifanya kukemea
 
Please, use common sense for once
Umeniuliza kuhusu hiyo video hapo juu, na hiyo video inafall kwenye homosexual category kwa hiy9 nimekujibu specifically about hiyo video uliyouliza, mwisho nikaongelea na video nyingine pia kutoka pande zote.

Yani unataka jibu juu ya video yenye homosexual content halafu unataka nikijibu nisitaje neno homosexual. Au umesahau swali lako? Una dementia we mzee?
Wewe ni homophobic tangu mwanzo kabisa umejionesha.

Ndiyo maana hata video ukaweka hiyo na umeonesha unawachukia hawa watu, umenitukana mimi msenge, umetumia neno msenge kama tusi.

Wewe ni homophobic unatumia gia ya ku protevt watoto tu.

Na hili jambo naliona sana katika arguments za watu homophobic, wanasema hawa mashoga wanaharibu watoto, wakati watoto wanatakiwa kuwa protected kutoka mambo yote yaliyo sexual si ya homosexuals tu.

Umesema liberals wananiharibu mimi.

Liberals wanakuharibu wewe unayetaka kila kitu kidhibitiwe na sheria na serikali

Hii ni tabia ya liberals..

Hujui kuwa kuna personal responsibility ya wazazi kufundisha watoto wao wasifanye hiki na kile, na utamaduni huu ni muhimu na una nguvu kuliko sheria yoyote unayoweza kuweka.

You can't legislate culture.

Wewe una kilema cha kukimbilia serikali na sheria kama suluhisho la kila kitu, hii ni tabia ya liberals.

Mimi ni libertarian si liberal, know the difference. Mtu binafsi ana wajibu pia wa kuiasa familia yake isifuate mambo fulani asiyoyataka.

Wewe kama unaona hiyo video ni big deal, wakanye wanao wasiangalie.

Kuna watu nyumba zao zina mashoga na wanaona ushoga kitu cha kawaida tu hawaoni hiyo video kuwa tatizo. Waache wajinafasi kivyao.

Yani wanona shoga ni mtu anayefaa kupewa heshina yake na human dignity.

Najua hujafikia enligtenment hiyo utapiga danadana kujifanya unatetea watoto lakini kimsingi tangu mwanzo unapiga vita mashoga na wasenge.

Even your languahe is homophobic.
 
wewe pia umeiposti hapa kwa lengo gani, na mimi nikienda kukufungulia uzi fb nikasema umeposti jf? umeshaona hakifai but still umeichukua na kuisambaza huku, halafu unajifanya kukemea
Nimemwambia anaipaisha tu jiyo video.

Anaanza kunifanya nifikiri unaweza kukuta huyo ni yeye, hiyo video yake anaifanyia promo hapa ipate views zaidi. Anatafuta engagement zaidi.

Huku akijifanya anachukia mashoga.
 
Kwanini ufatilie vitu usivyovipenda? Mbona kwenye hii mitandao kuna vitu ambavyo waweza kuchagua kuvifatilia na usivovipenda unaweza kudhani havipo?

Chagua kile unachoona kinafaa, maana kuna vingine ambavyo hujui kama vipo na nivyakuogofya.
 
Ukweli
Huu ni kweli ambao hata M/Mungu haukubali, ni hivi lengo kubwa la watengeneza hizi social media lengo Lao la siri ni kuona hayo mambo uliyoyasema kwenye post yako kama katazo yanaendelea kwa Kasi kubwa kukua so ni matokeo yao makubwa na mazuri kwao

NB; mfunze mtoto wako muonyeshe hizo content tatanishi na muelekeze kuwa hawa ni watu fulani na wewe kama mtoto hautakiwi kuwaiga na kuwafata na mueleze misingi anayotakiwa kuifata na kuiiga kama mwanao then muombee kwa M/Mungu asikengeuke, sipendi kuandika sentence ndefu kama sijaeleweka yeyote aniulize nitajibu kwa haraka
 
Siingilii personal life na najua watu walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno

Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social media wakiona watu wanafanya hivi watoto wanaweza kuona ni kawaida.

Mbona Bongo kwenye mziki tunafanya vizuri sana kuzuia wasanii wasifike mbali, tunaona ukivuka mipaka tu BASATA wanakula sahani moja na wewe, kwa nini wasianze kuweka sheria kwa content creators pia?
Kuna content nyingine zinatia kinyaa, watu wanavuka mipaka
View attachment 3561899
Sasa mkuu, wewe kwanini umeileta hapa hii video? Huoni kwamba huna tofauti na hao wanaopost. Umeitoa tiktok sijui wapi unaileta hapa JF ili na wengine tuione.
Ungeweza kuwasilisha mada yako bila kuweka hii video ungeeleweka pia.
 
Kwanini ufatilie vitu usivyovipenda? Mbona kwenye hii mitandao kuna vitu ambavyo waweza kuchagua kuvifatilia na usivovipenda unaweza kudhani havipo?

Chagua kile unachoona kinafaa, maana kuna vingine ambavyo hujui kama vipo na nivyakuogofya.
Naanza kupata mawazo labda hiyo ni video yake anaipigia promo hapa ipate views zaidi.

Huku akijifanya anachukia mashoga.
 
Kwanini ufatilie vitu usivyovipenda? Mbona kwenye hii mitandao kuna vitu ambavyo waweza kuchagua kuvifatilia na usivovipenda unaweza kudhani havipo?

Chagua kile unachoona kinafaa, maana kuna vingine ambavyo hujui kama vipo na nivyakuogofya.
Mimi natumia sana tiktok lkn sijawahi kukutana na mtu anayeonyesha kinyeo wala utupu wake. Huyu mwenzetu anaona mambo aliyoyafollow mwenyewe halafu analalamika
 
Nimemwambia anaipaisha tu jiyo video.

Anaanza kunifanya nifikiri unaweza kukuta huyo ni yeye, hiyo video yake anaifanyia promo hapa ipate views zaidi. Anatafuta engagement zaidi.

Huku akijifanya anachukia mashoga.
naanza pia kuhisi ni yeye mwenyewe, hata maudhui anayodai ni 18 sijayaona.
 
Wew ni homophobic tangu mwanzo kabisa umejionesha.

Ndiyo maana hata video ukaweka hiyo na umeonesha unawachukia hawa watu, umenitukana mimi msenge, umetumia neno msenge kama tusi.

Wewe ni homophobic unatumia gia ya ku protevt watoto tu.

Na hili jambo naliona sana katika arguments za watu homophobic, wanasema hawa mashoga wanaharibu watoto, wakati watoto wanatakiwa kuwa protected kutoka mambo yote yaliyo sexual si ya homosexuals tu.

Umesema liberals wananiharibu mimi.

Liberals wanakuharibu wewe unayetaka kila kitu kidhibitiwe na sheria na serikali

Hii ni tabia ya liberals..

Hujui kuwa kuna personal responsibility ya wazazi kufundisha watoto wao wasifanye hiki na kile, na utamaduni huu ni muhimu na una nguvu kuliko sheria yoyote unayoweza kuweka.

You can't legislate culture.

Wewe una kilema cha kukimbilia serikali na sheria kama suluhisho la kila kitu, hii ni tabia ya liberals.

Mimi ni libertarian si liberal, know the difference. Mtu binafsi ana wajibu pia wa kuiasa familia yake isifuate mambo fulani asiyoyataka.

Wewe kama unaona hiyo video ni big deal, wakanye wanao wasiangalie.

Kuna watu nyumba zao zina mashoga na wanaona ushoga kitu cha kawaida tu hawaoni hiyo video kuwa tatizo. Waache wajinafasi kivyao.

Yani wanona shoga ni mtu anayefaa kupewa heshina yake na human dignity.

Najua hujafikia enligtenment hiyo utapiga danadana kujifanya unatetea watoto lakini kimsingi tangu mwanzo unapiga vita mashoga na wasenge.

Even your languahe is homophobic.
Shoga kupewa dignity inahusiana nini na kupost maudhui yaliyo sexualized carelessly bila restrictions?
Hivi unajua unatetea kitu tofauti na kinachoongelewa hapa, unajaribu kunivuta kwenye hiyo argument yako ya kuwapa mashoga dignity ila sio kitu ninachoongelea hapa.
 
Watu wengine wanaanza kufikiri kuwa hiyo ni video yako wewe umeileta hapa ipate views zaidi.

Kwa sababu hawaoni hayo maudhui ya watu wakubwa. Na hawaelewi kwa nini unakuwa obsessed na video ambazo unasema huzipendi.

See #32.
 
Sasa mkuu, wewe kwanini umeileta hapa hii video? Huoni kwamba huna tofauti na hao wanaopost. Umeitoa tiktok sijui wapi unaileta hapa JF ili na wengine tuione.
Ungeweza kuwasilisha mada yako bila kuweka hii video ungeeleweka pia.
Ni kweli, hakukuwa na ulazima wa kuweka hiyo video. Naweza kuifuta ila mada ikabaki inaongelea kitu kilekile
 
Jamaa kajaribu kuweka maada na kielelezo lakini jambo la ajabu eti blah blah blah,oh kwanini umeleta uku,

Unaingilia maisha ya watu blah blah,ili ni jukwaa huru mtu anaweza kupost chochote ilimradi havunji sheria za JF, amejaribu kuweka video ili watu waelewe zaidi nini ana maanisha lakini wajuaji wameshuka chini ya uzi wake na kuweka nuksi.

Itoshe kusema kuishi nje ya nchi ukaona jinsi wanavyo ishi,usijaribu kufanya ni jambo la kawaida ata uku kwetu
 
Watu wengine wanaanza kufikiri kuwa hiyo ni video yako wewe umeileta hapa ipate views zaidi.

Kwa sababu hawaoni hayo maudhui ya watu wakubwa. Na hawaelewi kwa nini unakuwa obsessed na video ambazo unasema huzipendi.

See #32.
Wewe huna hoja, kwanza ulikuwa unaongelea mada ambayo haipo kabisa. Sasahivi unataka kujificha kwenye comments za wenzako. Hebu kwenda 🚮🚮
 
Back
Top Bottom