Kuna mambo huwezi kujifunza ukubwani

Kuna mambo huwezi kujifunza ukubwani

haahahaha, mie nilikuwa mvivu, nilikuwa sipendi kufanya kazi hivyo akawa anakomaa na mimi.
Hiyo ya kurusha ugali ukutani bibi yangu alikuwa ana i discourage yaani akiona tu umerusha anakufinya, halafu hata ya kusonga ugali halafu ugonga surufia ,kuuuuuuuuuuuuuuutu, kuutttttttttttttttttttuuuuuu na yenyewe alikuwa anatukaza, anasema usonge ugali kwa staha sio ugomvi.
Ahsante mwaya kumuombea mama yangu dua njema.
ahahaa bibi kiboko
mimi nilifundishwa ile style ya kuchemsha maji ,hakuna kupika uji maana uji ulikuwa ukichemka tu mimi nasonga ugali hapohapo nilikuwa sielewi so unatoka mbichi.nikaanzishiwa ile ya kuchemsha maji ile style bwana inaitaji nguvu sana yaani ilikuwa ni kesi huko jikoni hapo nasonga ugali kama wa mtu nane hivi just imagine..
 
hahahahahhahhahah, ila nyumbani palikuwa patamu sana shost kuliko hivi tulivyojitegemea. ahahahahahahahaahhahahhah
 
sana unakumbuka siku za pilao? au wali maharage?
Nakumbuka, tulikuwa tunawahi kuoga mapema bila shuruti hahahaahahaha, halafu hutamani wenzako wacheze sana kwenu siku hiyo, hahahahahahahahaahahah. Pia ilikuwa kama mama akiagiza aletewe kitu tunakimbizana kuleta tofauti na siku zingine hadi mtu atajwe jina kuwa Fulani niletee mwiko.....
 
ahahaaaa mchele ulikuwa adimu sana yaani halafu unapikwa kwa matukio maalumu tu. mimi nilikuwa natangaza mtaa mzima siku ya wali halafu kuna madogo ukishayashtua hayaondoki tena basi nanunaa wakipewa .ahaaaaa
 
Kuna shoga yangu hivo hivyo kufua hawez vyombo ndo usiseme miaka juu ya 3o nae anatafuta mchuma kwake kaajir wamama wa usafi ni mvivu sijawahi ona.

Ndo maana sisi tulozaliwa kolomije tukikutana na wakaka wa kisasa hawaamin kaz tunazofanya wanadhani tunaigiza tupendwe kumbe hiyo ni kazi ya mama.

Asante mama lucky hakuna kazi ambayo sijui hapa duniani
 
ahaaaaa shoga kuna mkaka nilishawai kwenda kwake nikadeki mimi,nikafua nguo za mwezi ,nikapika ,nikanyoosha nikapanga nguo kabatini,nikaliwa. mimi hata nauli sikupewa sikutaka kuonekana mama wa mizinga .nimekoma mimi miss chagga
 
ahahaaaa mchele ulikuwa adimu sana yaani halafu unapikwa kwa matukio maalumu tu. mimi nilikuwa natangaza mtaa mzima siku ya wali halafu kuna madogo ukishayashtua hayaondoki tena basi nanunaa wakipewa .ahaaaaa
hahahahahahaahahah
 
Yeah mwanamke lazima ujifunze mapema. Ni aibu mwanamke kutokujua kupika.
Kuna shoga yangu hivo hivyo kufua hawez vyombo ndo usiseme miaka juu ya 3o nae anatafuta mchuma kwake kaajir wamama wa usafi ni mvivu sijawahi ona.

Ndo maana sisi tulozaliwa kolomije tukikutana na wakaka wa kisasa hawaamin kaz tunazofanya wanadhani tunaigiza tupendwe kumbe hiyo ni kazi ya mama.

Asante mama lucky hakuna kazi ambayo sijui hapa duniani
hahahahahahaahahah
hivi jamani kwanini zamani ilikuwa mtoto akila kwa mtu nyumbani anachapwa sasa hivi mtoto anaambiwa nenda ukale kwa mama flani anapika wali si unaupenda eeh,ni uvivu wa wazazi kupika au ni uchumi kubana?
Hapo Ndo unapokesea
 
kuna madogo yakisikia harufu ya mpunga mtaa wa kumi huko yanashinda hukohuko halafu wakishakula wanaondoka muda huo huo hakuna kuvunga
Na hivi ubwabwa wa miaka ya nyuma ulikuwa unanukia kuliko wa siku hizi! hahahaaha
 
hivi jamani kwanini zamani ilikuwa mtoto akila kwa mtu nyumbani anachapwa sasa hivi mtoto anaambiwa nenda ukale kwa mama flani anapika wali si unaupenda eeh,ni uvivu wa wazazi kupika au ni uchumi kubana?
Mama anataka kubana hela apate ya kucheza mchezo
 
Niko kwenye SACCOs iliyoandikishwa kabisa kabisa ina usajili inaendeshwa kisheria kwa kusimamiwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Nchini
hivi kikoba kinakuaje sijawai kukielewa kuna watu wanataka nijiunge
 
kwa leo napenda kuzungumzia swala la kizazi cha leo kukosa maadili ,sio kwamba ni kuiga ni jinsi watoto wanavolelewa kwenye familia watoto wa siku hizi wanafanyiwa kila kitu na beki tatu,haishangazi mtoto yupo chuo kikuu hata kupika hajui kila kitu anafanya beki tatu.

Nakumbuka mimi nilianza kupika nikiwa darasa la pili,wakati huo nilikuwa naenda shuleni saa tano ,nilikuwa na miaka nane nilikuwa mchana kabla ya kuondoka lazima nipike ugali ,nioshe vyombo,nifagie nje ,nideki nyumba jmosi nayo tunafua nguo za kushindia zile

Nzuri za kanisani au kwendea mtoko,hosptal alikuwa anafua mama au dada wakubwa.
kwa sasa hivi mtoto wa miaka nane hata chakula analishwa atii.kuna mtoto wa sister niliachwa nae sister alienda kusoma alikuwa darasa la tatu tena genious tu class anakuwa wakwanza ila ilikuwa inabidi nimuogeshe maana hata kuoga ilikuwa shida.
watoto wa siku hizi wakubwa tu washavunja na ungo hata kupika chai tu ni kazi hawajui maana kwao kila kitu ni beki tatu.

Ubaya ni kwamba kuna vitu ni vigumu sana kujifunza ukubwani mojawapo ni mapishi japo kuna shule za mapishi nyingi tu ila kama hujazoea jiko hata ujifunze vipi hutoweza kupika chakula kizuri.

Ukitaka ujue mapishi lazima uwe muhenga wa jikoni.kuna vitrick vingi sana ambavo unajifunza kwa uzoefu na sio darasani tuanze kuwatrain watoto wetu ni kwa manufaa yao
Umesema kweli tupu. Wakati kuwa na msichana wa kazi Ni jambo jema, bado haiondoi haja ya mke kujua kupika. Hakuna jambo LA kufurahisha moyo kama chakula cha kupikwa na wife. Tatizo wamama wengi siku hizi hawajui mapishi. Na hii ni kutokana na msingi ulioujengwa. Fikiria family ambapo mume Ni fundi wa mapishi kuliko mke, daima mke atakuwa hajiamini.
 
Back
Top Bottom