Village Community Bank.hivi kikoba kinakuaje sijawai kukielewa kuna watu wanataka nijiunge
Nakushauri ujiunge na Chama cha Ushirika wa Kuweka Akiba na Kukopa ambacho kiko stable lakini pia uangalie kitu kichoitwa common bond, kwamba hicho chama wewe hapo umeingia kama mkazi wa hilo eneo, chama wadada/wamam kabisani, kazini kwenu, kabila lenu au ni vipi.
Unaweza kumuona Afisa Ushirika wa wilaya yako umuulize ni SACCOS ipi iko imara na ambayo unaweza kujiunga